- Thread starter
- #21
Tuchukulie hatumfahamu weka fahamisho hapa utaambiwa kama ndie au sie !Swali fikirishi anayetengeneza karatasi za kupigia kura mnamfahamu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuchukulie hatumfahamu weka fahamisho hapa utaambiwa kama ndie au sie !Swali fikirishi anayetengeneza karatasi za kupigia kura mnamfahamu?
Za chama tawala je?Zanzibar ya upinzani hoja kadhaa eti...
Skuli zote zitakua za ghotofa
Nitafuta madeni yote...
Dah, babu kachoka kwa kweli maana hapa hata mtoto wa darasa la pili B humdanganyi..
Sijawahi kuona Mwinyi akihutubia mikutano ya nje kilikoniZanzibar hatutoboi ....na tukitoboa basi basi itakuwa si salama tena. Kule CCM nzito haibebeki kabisa.
Baada ya kukosa watu ikabidi tupige campaign za mtaa kwa mtaa.
Yupo na anahutubia kwa muda mfupi sana na akimaliza tu huondoka watu wote akabakia yeye na baba yake na viti na kuna wanawake wawili watatu,juzi na ndivyo inavyotokea ,inawezekana ni itifaki yao,ila nijuavyo mgombea wa kiti cha Uraisi hupewa nafasi ya mwanzo kuondoka na baadae hufuata wengine.Sijawahi kuona Mwinyi akihutubia mikutano ya nje kilikoni
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mbona hawarushi live popote si youtube wala tv?Yupo na anahutubia kwa muda mfupi sana na akimaliza tu huondoka watu wote akabakia yeye na baba yake na viti na kuna wanawake wawili watatu,juzi na ndivyo inavyotokea ,inawezekana ni itifaki yao,ila nijuavyo mgombea wa kiti cha Uraisi hupewa nafasi ya mwanzo kuondoka na baadae hufuata wengine.
Juzi nilitamani kutoka machozi alibakia yeye na baba yake na viti vitupu watu wote wa CCM wameondoka ,ulikuwa mkutano wa Bumbwini.
uangalie huo mkutano.
Ulivyomaliza kuanadika ukajiridhisa kuwa ulichoandika ni sahihi kisha unaenda kupumzika na kudhani umetoa wazo madhubuti?Salaam kutoka Zenji ,kuna uhakika kutoka kila pembe kuwa sasa ni rasmi CCM imeshazikwa Zanzibar,hilo halina mjadala ,jukwaa la CCM Zanzibar CCM huchawanyika na kumuwacha/chia baba na mwana kwenye jukwaa.
Huyu baba ameenda kufanya nini mbona anamharibia mwanawe ? Husein unahisi ana ukakasi fulani ,huwezi kurapu ukaeleweka kama mzee wako yupo pembeni.
Ukweli ni kuwa CCM haipo imeshafutika kwa wananchi ambao ndio wapiga kura,kila lifanywalo na kupangwa na kina Bashiru kutoka Tanganyika huwekwa uwanjani,mipango na mbinu zote zinajulikana na wananchi sasa kama wananchi au tuseme WaZanzibari walio wengi wanajipanga kupambana na hila hizo ovu,
CCM ijue Zanzibar watu wao wanauelewa wa uraia wao na hawababaiki na mambo ya siasa wanaangalia zaidi muelekeo wa Nchi yao na hatari inayoikabili ,kusema kweli CCM wamevuruga kumuweka Husein Mwinyi,wangeweka nokoa yeyote yule Mzanzibari kuliko kumuweka mtu ambae hata mitaa ya Zanizibar haielewi,na kusema kweli wamempa wakati mgumu sana Husein Mwinyi ,sasa hajui achague nini kati ya dini na dunia.
Mipango ya Bashiru au tuseme CCM yote ipo njenje na inaeleweka tena inaeleweka hatua kwa hatua,kuna ulazima gani kulazimisha ushindi ? Kwamba ni lazima CCM ishinde,wakati haikushinda chaguzi zilizopita ambapo kulikuwa na wagombea waZanzibar atakuja kushinda huyu ambae CCM wenyewe wametifuana ndani wenyewe kwa wenyewe na hawajakaa sawa hadi leo.
CCM acheni mbinu chafu mtaumbuka na mpira utakuja kuwaangukia watumika.
sasa maalim anahangaika na nini kama mnalijua hiloTISS wana masanduku ya kura 127,000 za Dr Hussein Mwinyi
Kila mvuvi atapata boat yenye radio call na televisheni, ahadi zingine bwana. Maalim apumzike kwakweli amechoka na hana jipya. Sera yake ya kuvunja muungano imebuna na itapewa jibu mujarabu Tar 28 na WananchiZanzibar ya upinzani hoja kadhaa eti...
Skuli zote zitakua za ghotofa
Nitafuta madeni yote...
Dah, babu kachoka kwa kweli maana hapa hata mtoto wa darasa la pili B humdanganyi..
Tatizo umetawaliwa na ujinga na CCM wakipata watu kama nyinyi hufurahi sana, Kwa taarifa yako kuna nchi kama boti yako ya uvuvi haina redio call huruhusiwi kuivamia bahari,leo mnajengewa pedestrian bridge mnatangaza dunia nzima na Raisi ndio anaenda kufungua dalaja.Kila mvuvi atapata boat yenye radio call na televisheni, ahadi zingine bwana. Maalim apumzike kwakweli amechoka na hana jipya. Sera yake ya kuvunja muungano imebuna na itapewa jibu mujarabu Tar 28 na Wananchi
Anahangaika na kuepusha shari ,wananchi hawatokubali upumbavu huo wa CCM ,ushenzi huo wafanyiane CCM hukohuko kwenye kamati zao wanapoteuana na kuteuliwa na wajumbe.sasa maalim anahangaika na nini kama mnalijua hilo
Ndivyo alivyokuambia kibaraka kutoka Mkuranga ??Maalim apati kitu na akibweka saana basi umakamu wa Rais wa kwanza utamuhusu,amalizie maradhi yake ya sukari kwa miaka mitano,akamiliza hiyo mitano atupishe.
wembe ni uleule.
Usihofu wanasiasa wanabadilika wakati wowote.akuna mkate mgimu mbele ya chai.Ndivyo alivyokuambia kibaraka kutoka Mkuranga ??
Usihofu wanasiasa wanabadilika wakati wowote.akuna mkate mgimu mbele ya chai.
Nimeshangaa kuona mgombea wa urais Zanzibar tena CCM kufanya kampeni za nyumba kwa nyumbaZanzibar hatutoboi ....na tukitoboa basi basi itakuwa si salama tena. Kule CCM nzito haibebeki kabisa.
Baada ya kukosa watu ikabidi tupige campaign za mtaa kwa mtaa.
Hii ya wafanyakazi wa Zanzibar kupiga kura tarehe 27.10.2020 badala ya 28.10.2020 inatakiwa iangaliwe upya japo iko kwenye utaratibu wa ZEC.
Hapana wananchiYule Babu ndo ataing'oa CCM ?