Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi mkuu?Kweli hakuna aijuwaye kesho yake.
Dar umenihifadhi tumehifadhiana kwa wivu mkubwa .
Ila hakuna marefu yasiyo na ncha.
Nimeondoka hivyo ubakie salama.
Nitamiss, raha na karaha zako.
Till we meet again.
Stroke.
Magu alisema atakayebaki mjini atakuwa mwanaume.Kweli hakuna aijuwaye kesho yake.
Dar umenihifadhi tumehifadhiana kwa wivu mkubwa .
Ila hakuna marefu yasiyo na ncha.
Nimeondoka hivyo ubakie salama.
Nitamiss, raha na karaha zako.
Till we meet again.
Stroke.
Jamaa kaamua kushusha silahaJiji la mateso
Kateseka vya kutoshaJamaa kaamua kushusha silaha
Unanitisha Stroke.Kweli hakuna aijuwaye kesho yake.
Dar umenihifadhi tumehifadhiana kwa wivu mkubwa .
Ila hakuna marefu yasiyo na ncha.
Nimeondoka hivyo ubakie salama.
Nitamiss, raha na karaha zako.
Till we meet again.
Stroke.
Kama hajapata Stroke sijui tuKateseka vya kutosha
Njoo tulime magimb8lo huku tukuyu afsa.dar unapoteza mudaKiuhalisia nikipata mishe mkoani, nitaondoka kwa furaha maana kila nikiwa mkoani. Kuna furaha na utulivu flani napata
Labda kwa sababu sio born here here Ila mkoani nitapachagua. Any time any day
Kila la kheri mkuu
Kweli hakuna aijuwaye kesho yake.
Dar umenihifadhi tumehifadhiana kwa wivu mkubwa .
Ila hakuna marefu yasiyo na ncha.
Nimeondoka hivyo ubakie salama.
Nitamiss, raha na karaha zako.
Till we meet again.
Stroke.