Kwaheri ya kuonana Dar es Salaam

Kwaheri ya kuonana Dar es Salaam

Kweli hakuna aijuwaye kesho yake.

Dar umenihifadhi tumehifadhiana kwa wivu mkubwa .

Ila hakuna marefu yasiyo na ncha.

Nimeondoka hivyo ubakie salama.

Nitamiss, raha na karaha zako.

Till we meet again.

Stroke.
Wapi mkuu?
 
Kiuhalisia nikipata mishe mkoani, nitaondoka kwa furaha maana kila nikiwa mkoani. Kuna furaha na utulivu flani napata

Labda kwa sababu sio born here here Ila mkoani nitapachagua. Any time any day

Kila la kheri mkuu
 
Unanitisha Stroke.
Natoka Washington D.C leo jioni25 Jan nasimama New York mpaka jumanne usiku(naombeni machimbo ya batanzani benzangu) Dar nafika alhamisi alfajiri. Hilo Joto huko sijui itakuwaje

Ww unaandika unaondoka Dar. Kunani? Bamekuloga?
 
Kiuhalisia nikipata mishe mkoani, nitaondoka kwa furaha maana kila nikiwa mkoani. Kuna furaha na utulivu flani napata

Labda kwa sababu sio born here here Ila mkoani nitapachagua. Any time any day

Kila la kheri mkuu
Njoo tulime magimb8lo huku tukuyu afsa.dar unapoteza muda
 
Back
Top Bottom