Kwaheri ya kuonana Dar es Salaam

Kwaheri ya kuonana Dar es Salaam

Unanitisha Stroke.
Natoka Washington D.C leo jioni25 Jan nasimama New York mpaka jumanne usiku(naombeni machimbo ya batanzani benzangu) Dar nafika alhamisi alfajiri. Hilo Joto huko sijui itakuwaje

Ww unaandika unaondoka Dar. Kunani? Bamekuloga?
Hapana mkuu.

Dar is all good.

Mimi nina mambo yangu binafsi.
 
Kiuhalisia nikipata mishe mkoani, nitaondoka kwa furaha maana kila nikiwa mkoani. Kuna furaha na utulivu flani napata

Labda kwa sababu sio born here here Ila mkoani nitapachagua. Any time any day

Kila la kheri mkuu
Nimefika huku mkoa.

Patulivu sana mkuu.

Majukumu sio mengi kama Dar.

Dar kukimbizana kwingi.
 
Unanitisha Stroke.
Natoka Washington D.C leo jioni25 Jan nasimama New York mpaka jumanne usiku(naombeni machimbo ya batanzani benzangu) Dar nafika alhamisi alfajiri. Hilo Joto huko sijui itakuwaje

Ww unaandika unaondoka Dar. Kunani? Bamekuloga?
Trump kafanya yake nini mkuu?
 
Trump kafanya yake nini mkuu?
Ha ha ha sio hivo mkulu Nipo kama mbeba begi tu, kuhudhuria inaguration na Kulobi tena.

Ila watu matumbo joto, kila ninaye mpigia simu hana hamu.

Afrika patamu na kuna Uhuru wa kutosha. Asikudanganye mtu.
 
Karibu sana nyumbani mkuu.
 
Hapana mkuu.

Dar is all good.

Mimi nina mambo yangu binafsi.
Ulitisha.

Pouwa uturushie mapicha picha ya Mikoani basi bando likiwa sawa.

Mm naingia Dar alhamis. Kila kheri Mkuu.

****
Nitoke nje kidogo
****

MY Cheusi Dawa I am coming baby, na ile Pro 16, tena uzuri ilikiwa na TikTok. Utajidai ww🥰😍🤑
 
Nimefika huku mkoa.

Patulivu sana mkuu.

Majukumu sio mengi kama Dar.

Dar kukimbizana kwingi.
Ni kweli na kwa watu wa kipato cha kati na cha chini. Ni rahisi kuishi maisha mazuri zaidi mkoani
 
Back
Top Bottom