Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu.Unanitisha Stroke.
Natoka Washington D.C leo jioni25 Jan nasimama New York mpaka jumanne usiku(naombeni machimbo ya batanzani benzangu) Dar nafika alhamisi alfajiri. Hilo Joto huko sijui itakuwaje
Ww unaandika unaondoka Dar. Kunani? Bamekuloga?
Nimefika huku mkoa.Kiuhalisia nikipata mishe mkoani, nitaondoka kwa furaha maana kila nikiwa mkoani. Kuna furaha na utulivu flani napata
Labda kwa sababu sio born here here Ila mkoani nitapachagua. Any time any day
Kila la kheri mkuu
Moja ya ndoto zangu...hongera mkuuKweli hakuna aijuwaye kesho yake.
Dar umenihifadhi tumehifadhiana kwa wivu mkubwa .
Ila hakuna marefu yasiyo na ncha.
Nimeondoka hivyo ubakie salama.
Nitamiss, raha na karaha zako.
Till we meet again.
Stroke.
Aise na mm nawish sana hii bahati niipate mkuu.Mimi imekuja kama suprize tu.
Numekaa sina hili wala lile.
Ila ndio hivyo.
Trump kafanya yake nini mkuu?Unanitisha Stroke.
Natoka Washington D.C leo jioni25 Jan nasimama New York mpaka jumanne usiku(naombeni machimbo ya batanzani benzangu) Dar nafika alhamisi alfajiri. Hilo Joto huko sijui itakuwaje
Ww unaandika unaondoka Dar. Kunani? Bamekuloga?
Ha ha ha sio hivo mkulu Nipo kama mbeba begi tu, kuhudhuria inaguration na Kulobi tena.Trump kafanya yake nini mkuu?
Karibu sana nyumbani mkuu.Ha ha ha sio hivo mkulu Nipo kama mbeba begi tu, kuhudhuria inaguration na Kulobi tena.
Ila watu matumbo joto, kila ninaye mpigia simu hana hamu.
Afrika patamu na kuna Uhuru wa kutosha. Asikudanganye mtu.
Ulitisha.Hapana mkuu.
Dar is all good.
Mimi nina mambo yangu binafsi.
Nipo huko, nilitoka safari tu. Shukurani lakini.Karibu sana nyumbani mkuu.
Ni kweli na kwa watu wa kipato cha kati na cha chini. Ni rahisi kuishi maisha mazuri zaidi mkoaniNimefika huku mkoa.
Patulivu sana mkuu.
Majukumu sio mengi kama Dar.
Dar kukimbizana kwingi.
Itabidi nikalime parachichi mkuuNjoo tulime magimb8lo huku tukuyu afsa.dar unapoteza muda