Pole sana mkuu, lakini wakati mwingine tunakomaa tuhapana...mods sometimes wanachangia
Sasa wewe maumivu ya Jf ambayo hujui hata melo alitumia nguvu gani mpaka kuianzisha unakimbia kisa eti kuna watu wamekuudhi!!Lissu ana maumivu makali sana usimuone anacheka....acheni kabisa kusema hayo jamani....watz nawajua sana Tundu anamshukuru sana mke wake ndiyo faraja yake pale alipo na watoto wake.JF ni nzuri sana ila kuna wachache wanaiharibu kwa makusudi.
Duuuu!!!! [emoji54] [emoji54] [emoji46] [emoji46] [emoji46]naona jf ina wenyewe
Real can i cross ma Heart............!![emoji2][emoji2][emoji23] eti nasikitika kukukosa...usitoe sympathy za uongo hapa ...
sijavurugwa kabisa lakini kuna wana jf wanachangia sana kuwa gawa wana jf
Na wenyewe ni sisi pamoja na wewe!naona jf ina wenyewe
Huna maana yeyote hapa jf, ondoka tu!!Napenda kuchukua nafasi kuwaaga rasmi wana JF wote.
Nashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mungu awabariki sana.
tramadol
Yes !nilikua mamsoma kwenye masuala ya urembo kule