Kwaherini wana JamiiForums wote

Kwaherini wana JamiiForums wote

Lissu ana maumivu makali sana usimuone anacheka....acheni kabisa kusema hayo jamani....watz nawajua sana Tundu anamshukuru sana mke wake ndiyo faraja yake pale alipo na watoto wake.JF ni nzuri sana ila kuna wachache wanaiharibu kwa makusudi.
Sasa wewe maumivu ya Jf ambayo hujui hata melo alitumia nguvu gani mpaka kuianzisha unakimbia kisa eti kuna watu wamekuudhi!!
Ukifanya hivyo tu utakuwa umethibitisha tabia ya wanalumumba wengine kuwa hawawezi kubishana kwa hoja zaidi ya pyupyupyu na wasirikale wa kwata

Lukwafya
 
Kuondoka kwako hakutatui tatizo ukishirikisha wadau tatizo litaondoka usikimbie matatizo pambama nayo yaishe tafadhari ghairi huo uamuzi wako
 
sijavurugwa kabisa lakini kuna wana jf wanachangia sana kuwa gawa wana jf

yaaan wewe muuaji mkubwa sana wa tundu lisu !nenda kafie mbele huko !hufai wala nn !ni kati ya watu ambao nawachukia humu !kutwa kumnanga Lissu!kafe front
 
Back
Top Bottom