Kwaherini wana JamiiForums wote

Kwaherini wana JamiiForums wote

Kwahiyo hautaingia tena jf!? Anyway sio mbaya kubaki kuwa msomaji wa kawaida.
 
Ile thread ya KIPUUZI uliyopost kabla ya hii hata mimi ILINICHEFUA.

No wonder, ulipata MAJIBU uliyoyataka.

Jifunze KUHESHIMU wengine, na wewe utaheshimiwa.

Itikitadi na kutumika kusikufanye MJINGA.

JITAFAKARI.
Tafsiri yako tu na dhana zenu za uchama kwahiyo kila jambo unapeleka kwa chadema na ccm...mimi sina chama nilishasema huko nyuma mimi si ccm wala chadema wala cuf wala chama chochote cha siasa Tanzania.
 
hivi jamiiforums ni yakuachana nayo kirahisirahisi tu? never.

ninacho jua watu wanaji camouflage kiaina tu na maisha yanaendelea
 
Tramadol bhana,usiwe na hasira za kikekike,wewe una maumivu gani kumzidi tundu lisu aliemwagiwa risasi zaidi ya 30 lkn mpaka sasa anacheka na kumshukru Mungu kwa kumpigania? Na wakati huo bado vijana wa Lumumba wakisema kuwa ana-act!!!
Tramadol acha hasira za kike njoo tuendelee kuijenga Jf.

Lukwafya
 
Tafsiri yako tu na dhana zenu za uchama kwahiyo kila jambo unapeleka kwa chadema na ccm...mimi sina chama nilishasema huko nyuma mimi si ccm wala chadema wala cuf wala chama chochote cha siasa Tanzania.
Hata mimi sijataja chama hapo, itikadi sio lazima iwe chama;

Issue ni CONTEXT ya unachokusudia kwenye bandiko, inalenga nini?

Basi sawa,

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom