Kwaherini wana JamiiForums wote

Kwaherini wana JamiiForums wote

Member mwenzetu kufikia hatua ya kuaga, hakika kuna jambo limemkwaza au kuna maisha nje jf.

Kila la kheri
 
Mimi siku akiondoka MGEN nitafurahi sana. Anajifanya ana matusi sana ya kuutukana uislam na mtume Muhammad.
MGEN tokaaaaaaaa....
 
Naona baada ya kutimiza mpango wako unaamua kutuaga

Karibu tena kwa ID mpya mkuu
 
Back
Top Bottom