Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,662
- Thread starter
-
- #21
Nawaachia jukwaa, wewe, Masunga Maziku, Nyani Ngabu, Valentina (mod), miss chagga (mod), Freema Agyeman na wadau wengine. Mimi sipotei ghafla kama lara 1, ndio maana naaga.ha ha
mie mpaka nioe ndo napotea humuNawaachia jukwaa, wewe, Masunga Maziku, Nyani Ngabu, Valentina (mod), miss chagga (mod), Freema Agyeman na wadau wengine. Mimi sipotei ghafla kama lara 1, ndio maana naaga.
Mwaka 2020 umri wako utakuwa haujafikia??Leo nimekuja kuwaaga hapa rasmi kwa sababu hiki ndicho kijiwe changu humu JF.
Likizo yangu imeisha. Natoweka JF kuanzia kesho mpaka mwaka 2020, ndipo tutakapokutana rasmi. Naenda kukabiliana na majukumu kadhaa mazito, likiwemo la kujiandaa kugombea Urais wa JMT mwaka 2020. Huo mwaka, nitaingia rasmi kwa kishindo katika siasa za Tanzania, nikiwa na lengo la kuunyakua Urais ifikapo mwaka 2025.
Nimeamua kuandika ili kupunguza maswali yatakayojitokeza kutokana na mimi kutokuwepo humu kwa muda mrefu, pia kuzima uzushi wa aina yoyote, kama mjuavyo, jf kuna kila aina ya uzushi, maana wapo wanaoweza kuzusha kuwa simo humu kwa sababu zisizo za kweli.
Simplicity.
Huo mwaka nitafanya amshaamsha matata sana!Mwaka 2020 umri wako utakuwa haujafikia??
Utakufa kabla yangu, hilo halina ubishi. Mimi hapa duniani nipo kwa miaka kibao kwa sababu kazi niliyotumwa na Mungu bado sijaimaliza.2018 u will die.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji86] [emoji86]Utakufa kabla yangu, hilo halina ubishi. Mimi hapa duniani nipo kwa miaka kibao kwa sababu kazi niliyotumwa na Mungu bado sijaimaliza.
Naondoka leo, imebaki kama saa moja hivi nile kona.Kwani unaondoka lini? Mana mkapa sasa bado naona uko tu
Huo muda wa kutumikia IDs nyingi jf nautoa wapi!...huku watu hawaondokagi,wanabadilisha ID tu,unahitaji some TLC tu...lol
Watatumbuana lakini mimi no.mkuu, haujatumbuliwa kweli?
hakikisha umelog-out kwenye computer ya offis
Watu wote waliowahi kuniambia nitakufa na kutaja muda, wamekufa wote wao na kuniacha mimi, sasa sidhani kama na wewe utaliepuka hilo.[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji86] [emoji86]
Unasema sijaelewa umemaanisha nini mkuu.
[emoji16] [emoji16] [emoji95] [emoji95] [emoji379]
Naenda kujiandaa.naona unataka kuhama chama
Wewe wasema.Kwahiyo muheshimiwa raisi ndo mmeamua kumpa jina la Maharage sio?