Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
Hahahaha,nakujaaa bestieee,itabidi tuwasiliane pembeni mbali na jf nkija kukujitoa hapaItabidi uje kule kwa Waziri Mkuu unipe sababu zako mana hapa sitakuelewa kabisaa. [emoji23] [emoji23]
Hapo sawa. [emoji2] [emoji2]Hahahaha,nakujaaa bestieee,itabidi tuwasiliane pembeni mbali na jf nkija kukujitoa hapa
Mizengo pinda au monduli?Itabidi uje kule kwa Waziri Mkuu unipe sababu zako mana hapa sitakuelewa kabisaa. [emoji23] [emoji23]
Wapi tena mama yatayokufanya kushindwa kutupia hata mstari?! Sasa hii ndiyo social network yetu ya kuuliza kijifunza na ku enjoy, hatuwezi kweli kukubadilisha mawazo?Wapendwa,.
Monduli hiyoMizengo pinda au monduli?
Kuna mawili hapo:-Wapendwa,
Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu.
Hapa nimepata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigumu kugawa muda wangu.
Kwaherini wapendwa.
Kidogo nimepata ahueni,sijawahi kukufahamu ila michango yako ndio iliofanya nikuzimikie dada DrMajukumu yakipungua nitarudi mkuu. Asante sana
Itabidi uje kule kwa Waziri Mkuu unipe sababu zako mana hapa sitakuelewa kabisaa. [emoji23] [emoji23]
Hivi wakuu...siku na mimi nikiaga mtanililia hivi na kucomment vizuri kuhusu mimi?
[emoji26]Nilifikiria sana kabla ya maamuzi lakini ni siku ya mwisho kwenye hii.