Kwaherini

Kwaherini

Upweke unauma[emoji29] [emoji29] , ndio unatuacha? poa bana safari njema, leo itabidi nivute sana ili kukutakia safari njema Sky Eclat
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125]
 
Wapendwa,

Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu.

Hapa nimepata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigumu kugawa muda wangu.

Kwaherini wapendwa.
Kuna mawili hapo:-
1. Umefulia sana hivyo umeamua kuuza smartphone.
2. Kuna njemba imekuchimba biti kwamba ukiendelea kuingia JF anakupiga chini.
3. Unabadiri Id ili uje na mpya.
Pole lakn.
 
420310-a1f2d891b31bf4e63f52444420d70e4b.jpg
mama, nishajuwa mfungo waja, tutakusubiri dada..
 

Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    8 KB · Views: 25
Ni me cheap sbwa dume, post: 21281475, member: 199782"]Kuna mawili hapo:-
1. Umefulia sana hivyo umeamua kuuza smartphone.
2. Kuna njemba imekuchimba biti kwamba ukiendelea kuingia JF anakupiga chini.
3. Unabadiri Id ili uje na mpya.
Pole lakn.[/QUOTE]
Nimecheka sana mkuu, no ni muds majukumu yanabana
 
Naomba njoo PM before ujaondoka nakumbuka nilikuhaidi zawadi yako sky sitajisikia poa ukiondoka sijakupatia pliz dont go ntajisikia vibaya sana
 
Back
Top Bottom