Wapendwa,
Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu.
Hapa nimepata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigumu kugawa muda wangu.
Kwaherini wapendwa.