Kwaherini

Kwaherini

Duh hiyo si karibu na kuzimia? Huwa wana dispensary au? Nilifika pale zamani sana wakati dada yangu yupo chuo 78 alikuwa hall 6 mimi ujue sipajui hapo maana hata wanangu hawajasoma hapo na watoto wa ndugu wengi wamesoma nje. Ningemtuma levina aje kukuona ila naona nayeye ni mawenge kama mimi.
 
Wapendwa,

Baada ya kuwa member wa muda mrefu hapa umefika wakati ni me nimeamua kujitoa, hii ni kutokana na muongezeko wa majukumu.

Hapa nimepata marafiki ambao ninaweza kusema ni wa kudumu. Hata mimi ninasikitika kuondoka lakini imekuwa vigumu kugawa muda wangu.

Kwaherini wapendwa.
Ninachojiuliza inakuwaje bado naendelea kukuona au ulikuwa unatingisha kibiriti.
 
Back
Top Bottom