Kwahili la Taifa Stars tutawalaumu sana

Kwahili la Taifa Stars tutawalaumu sana

momara

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Posts
463
Reaction score
491
Binafsi naomba nisiwe mnafik kabisa kufeli kw timu ya taifa, Taifa stars wa kulaumiwa ni Uganda. Nina sababu ya kusema hivyo hasa nikiwa nipo nafuarilia mechi ya Uganda na Egypt. Kifupi tu ni kuwa Tanzania hatukustahili kabisa kufuzu ila ilikuwa ni huruma ya waganda ambao walishindwa kufikir wanatubeba bila kijua nini kitatukuta kule Egypt. Nawaangalia Uganda wanavyocheza mpaka napata shauku ya kuipenda Uganda pengine nianze kuishanhilia baada ya Tanzania kuyaaga maahindano. Najiuliza hivi huyu okwi au huyu wadada ndo wale wanaocheza ligi yetu kweli? Kifupi wanajua kusakata kabumbu. Hata kama wakifungw na Egypt ila bado naweza kusema wameonesha uwezo mkubwa kuanzia kujiamin mpaka umililk wa mpira pamoja na accurate passes. Hawa Uganda walitubeba ila kimpira bongo bado. Wachache walionesha uwezo kama samata msuva ....but the rest hawajiamin hata kutuliza mpira na kuangalia nafasi awawez wanatetemeka tu kama wanakigugumiz cha miguu

TANZANIA NIKIAMBIWA INASHINDANA KIMZIKI NIPO PAMOJA NAO POPOTE DUNIANI ILA MPIRA BADO IPO SAFAR NDEFU SANA NA SIO SIASA. S
 
kyk michuano ya afcon iliyopita uganda walipigwa game zote. yaan walienda tu kama kusindikiza lkn ktk michuano hii ndio wamekaza
Kaka sikatai kufungwa ila game tu yenyew haina mvuto hasa kwenye kuwek mpira mguuni ukakaa na ukatoa pass inayielewek. ASA kila muda accurate passes vs wrong passes ni sawa. Kweli?
 
Japo MaCCM yameniharibia mzuka wa kushangilia hii timu ila nakataa Stars kubebwa na Uganda. Kama walishindwa kutufunga kwenye uwanja wao kipindi wanahitaji point the most kuna ajabu gani wao kufungwa ugenini?! Na ukumbuke kwenye hilo kundi ni Stars tu hajafungwa na Uganda. Kuna muda inabidi tujikubali tu japo kidogo.
 
Binafsi naomba nisiwe mnafik kabisa kufeli kw timu ya taifa, Taifa stars wa kulaumiwa ni Uganda. Nina sababu ya kusema hivyo hasa nikiwa nipo nafuarilia mechi ya Uganda na Egypt. Kifupi tu ni kuwa Tanzania hatukustahili kabisa kufuzu ila ilikuwa ni huruma ya waganda ambao walishindwa kufikir wanatubeba bila kijua nini kitatukuta kule Egypt. Nawaangalia Uganda wanavyocheza mpaka napata shauku ya kuipenda Uganda pengine nianze kuishanhilia baada ya Tanzania kuyaaga maahindano. Najiuliza hivi huyu okwi au huyu wadada ndo wale wanaocheza ligi yetu kweli? Kifupi wanajua kusakata kabumbu. Hata kama wakifungw na Egypt ila bado naweza kusema wameonesha uwezo mkubwa kuanzia kujiamin mpaka umililk wa mpira pamoja na accurate passes. Hawa Uganda walitubeba ila kimpira bongo bado. Wachache walionesha uwezo kama samata msuva ....but the rest hawajiamin hata kutuliza mpira na kuangalia nafasi awawez wanatetemeka tu kama wanakigugumiz cha miguu

TANZANIA NIKIAMBIWA INASHINDANA KIMZIKI NIPO PAMOJA NAO POPOTE DUNIANI ILA MPIRA BADO IPO SAFAR NDEFU SANA NA SIO SIASA. S

Sasa kama Kimpira Bongo bado iwaje wachezaji hao hao unawasifia wanacheza bongo?? Swala hapa ni #AmunikeOUT.

TFF ni uozo mkubwa wanaoleta makocha poa wasio na Uwezo. Wapi Amunike amefundisha kwa mafanikio?
 
Kaka sikatai kufungwa ila game tu yenyew haina mvuto hasa kwenye kuwek mpira mguuni ukakaa na ukatoa pass inayielewek. ASA kila muda accurate passes vs wrong passes ni sawa. Kweli?
yuwasamehe bure kk maana wakirejea hawa ule u deby wa kariakoo unaendelea
 
Sasa kama Kimpira Bongo bado iwaje wachezaji hao hao unawasifia wanacheza bongo?? Swala hapa ni #AmunikeOUT.

TFF ni uozo mkubwa wanaoleta makocha poa wasio na Uwezo. Wapi Amunike amefundisha kwa mafanikio?
Pale hata aletwe kocha kutoka Mbinguni Ila kwa wachezaji wetu wa Kibongo soka bado Sana. Tutaishia tu kuoneana wenyewe Azam vs Kagera, etc lakini sio kushindana na wenzetu. Soka la vijana (Academies) zetu bado sio strong enough kuzalisha au kukuza vipaji.

Kocha anapatiwa au anachagua katika wale best players tulionao, lakini best hao ni best kwetu sababu hata shule zinazoshika mkia kwenye Matokeo hua humo humo kuna wakali wao. Wakitoka nje ya hapo kwenda kushindana na best wa shule nyingine ndo hao wanashika mkia.
 
Japo MaCCM yameniharibia mzuka wa kushangilia hii timu ila nakataa Stars kubebwa na Uganda. Kama walishindwa kutufunga kwenye uwanja wao kipindi wanahitaji point the most kuna ajabu gani wao kufungwa ugenini?! Na ukumbuke kwenye hilo kundi ni Stars tu hajafungwa na Uganda. Kuna muda inabidi tujikubali tu japo kidogo.
Hoja nzuri hii! Sisi si wabovu kivile...
 
Sijui usiku huu hao Algeria watatuonea huruma ili walau tuondoke na point 1! au ndiyo wamejipanga kutupa kipigo cha mbwa mwizi kama ilivyotokea mwaka ule timu ilipokua chini ya kocha mzawa Boniface Mkwasa 'Master'!
 
Back
Top Bottom