momara
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 463
- 491
Binafsi naomba nisiwe mnafik kabisa kufeli kw timu ya taifa, Taifa stars wa kulaumiwa ni Uganda. Nina sababu ya kusema hivyo hasa nikiwa nipo nafuarilia mechi ya Uganda na Egypt. Kifupi tu ni kuwa Tanzania hatukustahili kabisa kufuzu ila ilikuwa ni huruma ya waganda ambao walishindwa kufikir wanatubeba bila kijua nini kitatukuta kule Egypt. Nawaangalia Uganda wanavyocheza mpaka napata shauku ya kuipenda Uganda pengine nianze kuishanhilia baada ya Tanzania kuyaaga maahindano. Najiuliza hivi huyu okwi au huyu wadada ndo wale wanaocheza ligi yetu kweli? Kifupi wanajua kusakata kabumbu. Hata kama wakifungw na Egypt ila bado naweza kusema wameonesha uwezo mkubwa kuanzia kujiamin mpaka umililk wa mpira pamoja na accurate passes. Hawa Uganda walitubeba ila kimpira bongo bado. Wachache walionesha uwezo kama samata msuva ....but the rest hawajiamin hata kutuliza mpira na kuangalia nafasi awawez wanatetemeka tu kama wanakigugumiz cha miguu
TANZANIA NIKIAMBIWA INASHINDANA KIMZIKI NIPO PAMOJA NAO POPOTE DUNIANI ILA MPIRA BADO IPO SAFAR NDEFU SANA NA SIO SIASA. S
TANZANIA NIKIAMBIWA INASHINDANA KIMZIKI NIPO PAMOJA NAO POPOTE DUNIANI ILA MPIRA BADO IPO SAFAR NDEFU SANA NA SIO SIASA. S