Kwahiyo Buguruni, Chanika ni Jiji na Masaki na Osterbay ni manispaa, maisha yanabadilika

Kwahiyo Buguruni, Chanika ni Jiji na Masaki na Osterbay ni manispaa, maisha yanabadilika

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Wakuu Maisha yanabadilika sana.

Wale wakazi wa Masaki na O'bay leo hii wao wako kwenye hadhi ya manispaa na wakati huo huo wanangu wa malapa, kwa mnyamani hadi chanika na kigogo fresh ndio jiji la Dar es Salaam.

Hii ndio kulala maskini kuamka tajiri wale wa shamba ndio wamepandishwa hadhi na hii tunaita kumekucha kumekucha yaani bado mapema asubuhi hii.
 
Means kuanzia sasa ni sawa mabasi toka mokoani yasomeke. Mwanza - Ubungo.

MBEYA - UBUNGO, SONGEA-UBUNGO- ARUSHA-UBUNGO- BUKOBA-UBUNGO TANGA-UBUNGO-MTWARA...nk
Aiseee
Haha sio ubungo bali Mwanza - Mbezi Luis, Mbeya - Mbezi Luis, Bukoba - Mbezi Luis 🤓🤓
 
Haha sio ubungo bali Mwanza - Mbezi Luis, Mbeya - Mbezi Luis, Bukoba - Mbezi Luis 🤓🤓
Maisha yanaenda kasi sana.!! ( 542 X 640 ).jpg
 
Hivi mawazo ya jiwe unayafahamu lakini ?
Aisee wallah hakuna anayejua,

Tusije kushangaa siku moja tunaitwa kama nchi JAMUHURI MUUNGANO YA CHATO.

Bado tuna mengi ya kusikia,Baba wa Taifa wa uchumi nk nk
 
Means kuanzia sasa ni sawa mabasi toka mokoani yasomeke. Mwanza - Ubungo.

MBEYA - UBUNGO, SONGEA-UBUNGO- ARUSHA-UBUNGO- BUKOBA-UBUNGO TANGA-UBUNGO-MTWARA...nk
Aiseee
Tanga - ilala. Mwanza - ilala
 
Jamaa wa Banana, Ukonga, Kitunda hadi kinyantila wako Jijini yaani hao ndio watu wa mjini watu wa upanga, kino yote, Sinza yote hao wako manispaa
 
Mkuu upo jijini mambo ya manispaa hauyataki kabisa
Ni banana tu na segerea kuna kila kitu hapo hujafika Chanika wala Masaki yetu huku Pwani.
Kuna mjini kwangu mimi panaitwa Masaki vilevile. Nenda Chanika au Kisarawe sema unataka kwenda Masaki utafikishwa
 
Back
Top Bottom