Wakuu Maisha yanabadilika sana.
Wale wakazi wa Masaki na O'bay leo hii wao wako kwenye hadhi ya manispaa na wakati huo huo wanangu wa malapa, kwa mnyamani hadi chanika na kigogo fresh ndio jiji la Dar es Salaam.
Hii ndio kulala maskini kuamka tajiri wale wa shamba ndio wamepandishwa hadhi na hii tunaita kumekucha kumekucha yaani bado mapema asubuhi hii.