Kwahiyo CHADEMA hata maandamano mnalipana posho?

Kwahiyo CHADEMA hata maandamano mnalipana posho?

Bilioni Moja na ushee kulipa madeni yaliyokopwa! Mkopeshaji mkuu Mwenyekiti!?
Ndio mjione msivyo na akili, CCM inawalisha ujinga inavyotaka na mlivyo mazuzu kwenye magroup ya CCM mnatumiana huu upuuzi.
 
Huyo aliyetengeneza hiyo chat ni punguani hasa. Yaana anaamini kuna mwenye akili timamu atadanganyika? Kweli CCM imebeba wajinga wengi. Na huyu aliyeitengeneza hii chat anajiona ametumia akili sana?
Mbona wapo wajinga wameamini? Angalia post za hapo juu! Kuwepo kwao JF kwa muda mrefu wengine hakujawasaidia upevuka akili hasa hao wafuasi wa mbogamboga!
Kuna watu mafuvu yamebeba tope humu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Strange logic. Bw Mwashambwa nilitarajia ungekanusha kwamba CCM haina upuuzi huo kabisa. Sasa wewe CCM kulinganishwa na CHADEMA na kupewa “unafuu” unaona raha kabisa!

Anyway, the stuff is obviously fake.
Kwani huyo Mwashambwa unamuweka kundi gani? Huyo ndio lile kundi la pro zombies ambao kwao ufahamu ni zero.
Mwenezi type

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ukizoea
Mbowe noma sana.. eti IMEKAA POA.. 😄😄 Na atakuwa kapiga hela mingi kwasababu lazima aingize majina ya wale watoto wake kwenye mgawo wa posho.
Wizi kila mmoja utamuona mwizzi tuu.
Ivi hapo lumumba kuna aliyemsafi kweli hata wa kumuita mwingine mwizi kweli?
Ipo hivi wakienda kwenye maandamano wanaenda FIELD so kama muongozo wa taasisi ni kwamba watu wakienda field walipwe allowances cha ajabu nn hapo?
 
Kwa hiyo nyie kila mnachofanya huwa mpo kazini kurafuta pesa?
 
Hahahahha punguza hasira wewe nyumbu.
Mimi siyo nyumbu, kasuku wala chawa. Nilienda shule nikasoma na kuelimika ndo maana najua kuchambua ukweli na uongo na chawa na binaadam.
Mfno Tanzania ina watoto yatima zaidi ya ml2. Kuna mmoja kaonekana anauzu sijui nn huko? Badala ya kuanzia kwa afisa anayehusika wajinga wenzio wakiongozwa na Joyce wowowo/ BASHITE hao hadi nyumbani kwa muhusika.
Huku inaamriwa ajengewe numba.
Nawe unakenua midomo na kukata mauno kama bi khadija kopa akiwa chimwaga
Bora kuwa nyumbu kuliko kuwa JUHA kama wewe
 
Kumbe hasira zako wewe nyumbu ni yule kijana mdogo kujengewa nyumba?
 
Kumbe hasira zako wewe nyumbu ni yule kijana mdogo kujengewa nyumba?
Sina shida na kujenga au kutokujengewe nyumba? Nahoji kuhusu utaratibu uliotumika kumjengea nyumba.
Kwakuwa wewe ni mpuuzi huoni madhara yake unakenua meno na kushangilia.
Unajua kwa utaratibu wa serikali yako wale watu wapo chini ya afisa gani? Unajua wanatambuliwa vipi? Unajua kwamba kitendo cha kwenda na makamera nyumbani kwa mtu na kuonesha mazingira ya nyumba yake hata kama una lengo la kumsaidia ni kutwesa utu wake?
Ndo mana nakwambia bora kuwa nyumbu kuliko kuwa CHAWA, KASUKU
 
Screenshot_20240206_170534.jpg
 
Back
Top Bottom