Kwahiyo CHADEMA hata maandamano mnalipana posho?

Kwahiyo CHADEMA hata maandamano mnalipana posho?

Truth be told

Nimekuwa na mawasiliano na hao watu kipindi Fulani nyuma hasa Lissu na Mnyika, kwa anaewafahamu vyema huwezi kusema hiyo ni fake.

Asieamini basi ni punguani tu.
 
Mimi siyo nyumbu, kasuku wala chawa. Nilienda shule nikasoma na kuelimika ndo maana najua kuchambua ukweli na uongo na chawa na binaadam.
Mfno Tanzania ina watoto yatima zaidi ya ml2. Kuna mmoja kaonekana anauzu sijui nn huko? Badala ya kuanzia kwa afisa anayehusika wajinga wenzio wakiongozwa na Joyce wowowo/ BASHITE hao hadi nyumbani kwa muhusika.
Huku inaamriwa ajengewe numba.
Nawe unakenua midomo na kukata mauno kama bi khadija kopa akiwa chimwaga
Bora kuwa nyumbu kuliko kuwa JUHA kama wewe
Uandishi huu nawe wajiita msomi.

Stupid.
 
Sina shida na kujenga au kutokujengewe nyumba? Nahoji kuhusu utaratibu uliotumika kumjengea nyumba.
Kwakuwa wewe ni mpuuzi huoni madhara yake unakenua meno na kushangilia.
Unajua kwa utaratibu wa serikali yako wale watu wapo chini ya afisa gani? Unajua wanatambuliwa vipi? Unajua kwamba kitendo cha kwenda na makamera nyumbani kwa mtu na kuonesha mazingira ya nyumba yake hata kama una lengo la kumsaidia ni kutwesa utu wake?
Ndo mana nakwambia bora kuwa nyumbu kuliko kuwa CHAWA, KASUKU
Mbona hueleweki? Kinachokuuma ni nyumba kujengwa? Au ni utaratibu uliotumika? Au ni kwenda na camera nyumbani kwa yule dogo? Hebu kuwa muwazi kinachokuuma wewe nyumbu.
 
Mbona hueleweki? Kinachokuuma ni nyumba kujengwa? Au ni utaratibu uliotumika? Au ni kwenda na camera nyumbani kwa yule dogo? Hebu kuwa muwazi kinachokuuma wewe nyumbu.
Ndiyo maana nikakuambia kwa akili zako za uchawa na ukasuku huwezi kuelewa ninachoandika. Hapo nimeongelea utu wa mtu (dignity). Hata kama awe masikini vipi ndo atangazwe na kumulika na makamera? Na wale wanaolala nje kule kariakoo mnawafanyaje?.kule mwanza wale wanaolala stand mnafanyaje?
 
Mbona hueleweki? Kinachokuuma ni nyumba kujengwa? Au ni utaratibu uliotumika? Au ni kwenda na camera nyumbani kwa yule dogo? Hebu kuwa muwazi kinachokuuma wewe nyumbu.
Bora kuwa nyumbu kuliko kuwa CHAWA na kasuku anayeitika mwimbo wowote
 
Nimeshitushwa na kushangazwa kwamba eti maandamano watu wanallipana posho? Hii ni kali na maajabu aisee

Ona hiyo attachment hapo chini.

View attachment 2894286
Acha unaa ndugu mjukuu wa chawa wenyewe sura kijani😁.Huo ushamba hata chawa wanakushangaa kwa aina ya porojo unayowadanganya wenzio,hapo hutahili hata ujira kwa porojo hiyo😁.Na pia ujue pia kwetu hakuna njaa kawa hapo fisi wanapotafunana kwa njaa kali hatari😁
 
Nimependa mwenyekiti anavyojibu eti imekaa poa yaani hawa watu wakikaa karibu wanagonga tano!!!!
 
Ndiyo maana nikakuambia kwa akili zako za uchawa na ukasuku huwezi kuelewa ninachoandika. Hapo nimeongelea utu wa mtu (dignity). Hata kama awe masikini vipi ndo atangazwe na kumulika na makamera? Na wale wanaolala nje kule kariakoo mnawafanyaje?.kule mwanza wale wanaolala stand mnafanyaje?
Nenda kawashauri ile familia ifungue mashtaka kwa kudhalilishwa. Watu wengine hata angekuja Mungu mwenyewe kuwa Rais wa nchi hii bado mtampinga kwasababu ni kama akili zenu zimejaa funza. Watu wanasaidiwa wewe unaangalia makamera.. shenztype.. kuna kudhalilika kama kuishi kwenye umaskini? Usirudie kuongea ushuzi hapa JF.
 
Back
Top Bottom