Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,656
- 3,785
Yeah kama wasiojulikana walivyosema comments, hashtags hazibadilishi chochote (Nimeparaphrase tu, ila ndiyo point yao ya msimu).
Ni pesa zenu, ni jasho lenu,mnaogopa nini kwenda ofisi za CRDB na kuona mnarudishiwa vipi pesa zenu au miamala inasolviwa.
Nimepitia comments kwenye page za CRDB naona bado kuna watu hawajui pesa zao zimeenda wapi na bado wanaishia kulalamika kwenye comments, wazee kweeeeliiii!!!!!!!
Hii nayo mnataka tuiweke kwenye bango tarehe 29?????? Acheni hizo bwana nendeni ofisi zao ongeeni nao watawapa utaratibu mzuri.