Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mpira wapi na wapi na RC au KKKT?Andiko langu lisihusishwe na Udini, ni hoja inayohitaji majibu.
Naandika haya nikitambua kwamba kuna watu wa dini zote wakiwemo hata wapagani ni Wana yanga, sasa kutumia kitabu kimoja tu kuomba dua ni kuwatenga wengine.
Ndio maana nikauliza hao wengine hawamo kwenye hiyo timu, ai dini zao haziruhusu dua michezoni?
Naomba kuwasilisha
View attachment 3059653View attachment 3059654View attachment 3059655
Uzi ufungwe..!Majini wapi nawapi na Ukristo?
Ni swali tu halina madharaUzi ufungwe..!
Makanisa Yote Makubwa Hao Viongozi Wao Wawapo Vyuoni Hufundishwa KabisaMpira wapi na wapi na RC au KKKT?
Wakisema tuombe kikristo lazima majini yachachamae famasikharaNi swali tu halina madhara
Nuru na giza havikai pamojaWakisema tuombe kikristo lazima majini yachachamae famasikhara
Unaijua timu ya baba paroko ya Njombe?Mpira wapi na wapi na RC au KKKT?
Na wewe punguza ujinga, hizo timu za kariakoo ni za waswahili, mambo mengine yaache kama ulivyoyakuta, usifurahie tu unavyoona matokeo uwanjani hao ndio wanaocheza mechi nje ya uwanja.Andiko langu lisihusishwe na Udini, ni hoja inayohitaji majibu.
Naandika haya nikitambua kwamba kuna watu wa dini zote wakiwemo hata wapagani ni Wana yanga, sasa kutumia kitabu kimoja tu kuomba dua ni kuwatenga wengine.
Ndio maana nikauliza hao wengine hawamo kwenye hiyo timu, ai dini zao haziruhusu dua michezoni?
Naomba kuwasilisha
View attachment 3059653View attachment 3059654View attachment 3059655
Timu za kariakoo hayo mambo ni jadi hakuna wa kumcheka mwenzake.