Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siku zote wamekuwa wadini sana, wajinga sana hawa. naombea wafungwe tu. kwa hiyo hapa ndio kuna siku watataka watu wanunue card za uanachama, si itakuwa sawa na kununua card za hamas tu.Andiko langu lisihusishwe na Udini, ni hoja inayohitaji majibu.
Naandika haya nikitambua kwamba kuna watu wa dini zote wakiwemo hata wapagani ni Wana yanga, sasa kutumia kitabu kimoja tu kuomba dua ni kuwatenga wengine.
Ndio maana nikauliza hao wengine hawamo kwenye hiyo timu, ai dini zao haziruhusu dua michezoni?
Naomba kuwasilisha
View attachment 3059653View attachment 3059654View attachment 3059655
Wewe wakuja huelewi historia ya Simba na Yanga.siku zote wamekuwa wadini sana, wajinga sana hawa. naombea wafungwe tu. kwa hiyo hapa ndio kuna siku watataka watu wanunue card za uanachama, si itakuwa sawa na kununua card za hamas tu.
kwahiyo yanga ni ya kiislam?Wewe wakuja huelewi historia ya Simba na Yanga.
Nyerere kafanyiwa sana visomo na wazee wa Tanu ambao ukanda wa Dar majority ni waislamu.
Andiko langu lisihusishwe na Udini, ni hoja inayohitaji majibu.
Naandika haya nikitambua kwamba kuna watu wa Dini zote wakiwemo hata wapagani ni Wana Yanga, sasa kutumia kitabu kimoja tu kuomba dua ni kuwatenga wengine.
Ndio maana nikauliza hao wengine hawamo kwenye hiyo timu, au Dini zao haziruhusu dua michezoni?
Naomba kuwasilisha
[
Mangungu na wazee wa Simba walipofanya dua kama hii ya kuiombea Simba mbona hukuja na uzi?Andiko langu lisihusishwe na Udini, ni hoja inayohitaji majibu.
Naandika haya nikitambua kwamba kuna watu wa Dini zote wakiwemo hata wapagani ni Wana Yanga, sasa kutumia kitabu kimoja tu kuomba dua ni kuwatenga wengine.
Ndio maana nikauliza hao wengine hawamo kwenye hiyo timu, au Dini zao haziruhusu dua michezoni?
Naomba kuwasilisha
Mangungu na wazee wa Simba walipofanya dua kama hii ya kuiombea Simba mbona hukuja na uzi?Andiko langu lisihusishwe na Udini, ni hoja inayohitaji majibu.
Naandika haya nikitambua kwamba kuna watu wa Dini zote wakiwemo hata wapagani ni Wana Yanga, sasa kutumia kitabu kimoja tu kuomba dua ni kuwatenga wengine.
Ndio maana nikauliza hao wengine hawamo kwenye hiyo timu, au Dini zao haziruhusu dua michezoni?
Naomba kuwasilisha
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃Uzi ufungwe..!
Belgium,spain na brazil ni nchi zenye kiwango kikubwa idadi ya wakatoliki pamoja na kiwango cha juu cha mpira wa miguu.Mpira wapi na wapi na RC au KKKT?
Am Christian, lakini Wakristo wengi ni kama wehu.kwahiyo yanga ni ya kiislam?
Hapo wangeitwa maaskofu na wachungaji maombi yangekua kelele tu na kufokeana,ingechukua siku nzimasiku zote wamekuwa wadini sana, wajinga sana hawa. naombea wafungwe tu. kwa hiyo hapa ndio kuna siku watataka watu wanunue card za uanachama, si itakuwa sawa na kununua card za hamas tu.
😆😆😆siku zote wamekuwa wadini sana, wajinga sana hawa. naombea wafungwe tu. kwa hiyo hapa ndio kuna siku watataka watu wanunue card za uanachama, si itakuwa sawa na kununua card za hamas tu.
Aiseeee!!!Hapo wangeitwa maaskofu na wachungaji maombi yangekua kelele tu na kufokeana,ingechukua siku nzima
Ofcourse mambo mengine ni kuyaacha yapite tu kuna mila na tamaduni huwezi kubadikisha unless unataka kuwagawa watu kwa mfano leo nipande dar express kisa mimi muislamu niwaambie watoe kwaya zao au wale wachungaji wanaopanda kutupigia makelele ,tuanze kuwakataa ,tuishi kwa kuvumilianaAm Christian, lakini Wakristo wengi ni kama wehu.
Misikiti haijawahi kumiliki timu lakini kanisa lilikuwa linamiliki timu madaraja tofauti.
Catholic Chang'ombe walikuwa na timu kali sana inaitwa ujirani mwema.
Father Kamili Kiwalani alianzisha timu ya Vatican ambayo wanachama walikuwepo mpaka waislamu na wachezaji waislamu.
Ethiopia ile Saint George ni timu ya kanisa.
Tupunguze nongwa za kipumbavu, ukienda Roma ishi kama Waroma, kwahiyo Simba na Yanga kwa asili ni timu za waswahili wa Dar ambao majority ni waislamu.
Unaposema Waswahili unamaanisha Waislam?Na wewe punguza ujinga, hizo timu za kariakoo ni za waswahili, mambo mengine yaache kama ulivyoyakuta, usifurahie tu unavyoona matokeo uwanjani hao ndio wanaocheza mechi nje ya uwanja.
Kuna Mkristo anayejuwa Kurujuwani?
Je kuna Mkristo anayeweza kukaa hivyo kwenye jamvi?
SwadaktaIla na viongozi nao wanatakiwa wajitathmini. Hata kama kwenye ngazi za juu karibia wote ni watu kutoka imani moja, hawatakiwi kuchanganya kila kitu na hiyo imani yao.
Wakumbuke tu timu ina mashabiki na wanachama wa kutoka kwenye imani na matabaka yote katika jamii.
Wewe unaposikia waswahili huwa unaelewa waswahili ni watu gani?Unaposema Waswahili unamaanisha Waislam?