Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
HAKUNA KUWAKILISHWA MIUNGU HIYO HAIFANANI.Lengo ni Dua
Dua ya dini moja imewakilisha zote ukitaka kila mwenye dini yake yafanyike maombi si patakeshwa Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAKUNA KUWAKILISHWA MIUNGU HIYO HAIFANANI.Lengo ni Dua
Dua ya dini moja imewakilisha zote ukitaka kila mwenye dini yake yafanyike maombi si patakeshwa Mkuu
Na ubwabwa wanaupenda kinyama.Vilabu vyetu vimejaa wavaa kobaz..
Wacha waombe
Hujui mahusiano ya dini na amani au unajitoa akili na kujifurahisha kutukana?Nilijua wapumbavu wamepungua kumbe bado wapo wengi!?
Hilo unalolizungumza na amani wapi na wapi!?
Ukraine nako kuna hao unaowazungumzia?
Dunderhead
Najitoa akili au HUNA AKILI NA HUJIELEWI!?Hujui mahusiano ya dini na amani au unajitoa akili na kujifurahisha kutukana?
Ujerumani pia.Belgium,spain na brazil ni nchi zenye kiwango kikubwa idadi ya wakatoliki pamoja na kiwango cha juu cha mpira wa miguu.
unasemaje ktk hilo?
Umeweka ushabiki pembeniIla na viongozi nao wanatakiwa wajitathmini. Hata kama kwenye ngazi za juu karibia wote ni watu kutoka imani moja, hawatakiwi kuchanganya kila kitu na hiyo imani yao.
Wakumbuke tu timu ina mashabiki na wanachama wa kutoka kwenye imani na matabaka yote katika jamii.
Tatizo unajifanya mjuaji ilhali hiko kichwa umejaza udini tu.Najitoa akili au HUNA AKILI NA HUJIELEWI!?
Basi wacha nizungumze straight.
Tanzania kuna waislam zaidi ya 45% ya raia wa hii nchi,je amani imetetereka!?
Qatar,Dubai,Oman,Saudi Arabia,Indonesia,Malaysia,Egypt,Morocco,Algeria,Tunisia hizi nchi idadi kubwa ya raia ni waislam,je umesikia vita zikipiganwa!?
Ukraine,Russia,Myanmar,India,China,Phillipines hizi nchi zina vurugu Ukraine na Russia wanapigana,Myanmar wana vita za kiraia,India,China na Phillipines wana mvutano wa mipaka kiasi wanapigana risasi je hizi nchi ni za waislam!???
Nasikitika kama una mtoto maana atakua amerithi akili za kipumbavu zisizoweza kufikiri.
Udini hautakusaidia kitu na yale sio matusi bali zile ni sifa,mpumbavu ni mtu asiyejielewa.
Dini zingine hazipo compatible na majiniAndiko langu lisihusishwe na Udini, ni hoja inayohitaji majibu.
Naandika haya nikitambua kwamba kuna watu wa Dini zote wakiwemo hata wapagani ni Wana Yanga, sasa kutumia kitabu kimoja tu kuomba dua ni kuwatenga wengine.
Ndio maana nikauliza hao wengine hawamo kwenye hiyo timu, au Dini zao haziruhusu dua michezoni?
Naomba kuwasilisha
Still unadhihirisha ujinga wako.Tatizo unajifanya mjuaji ilhali hiko kichwa umejaza udini tu.
Kwanza sikuandika kwamba nchi za kiislamu zinakuwa na vita, niliandika Imani ya hiyo dini ikishamiri, amani hutoweka au kupungua!
Unadhani amani kutoweka ni lazima iwe vita?
Pili unataja nchi zenye matatizo ya kisiasa na kiraia na kukwepa nchi kibao ambazo makundi ya imani kali yametowesha amani.. kwanini?
Hujui migaidi ya kiislamu imefanya nini Iraq, Yemen, Somalia, Nigeria, Afghanistan n.k?
Epuka lugha za kashfa. Toa hoja. Otherwise unakuwa mpumbavu tu nyuma ya keyboard.
Kwani waarabu wanakulipa nini mzee maana naona unateteaga sana hiyo dini yaoStill unadhihirisha ujinga wako.
Hizo nchi za kiislam zimekuaje nchi za kiislam kama sio imani ya kiislam kushamiri!??
Imani ilishamiri ikakua na kupelekea taifa kuwa la kiislam.
Tanzania ina waislam sawia na wakristo,je amani ya Tanzania imetoweka!?
-Iraq imeharibika baada ya kuvamiwa 2008 na USA wakisingizia kuwa Saddam Hussein anaunda silaha za sumu,na tokea hapo Iraq haina amani kwasababu makabila na makundi yanagombania utawala ama uongozi.
-Yemeni iliingia mgogoro kuanzia 2014 baada ya raia wa Yemeni kumkataa Mansour kubaki madarakani,hivyo Mansour aliomba Msaada USA na Saudi Arabia ili alindwe abaki madarakani kama Lukashenko alivyoomba Msaada kwa Putin alindwe abaki madarakani Belarus,Houthi ni chama cha kisiasa ila kilivyoona kuna external interference walishika bunduki na kumtoa Mansour madarakani.
2021 vita ziliisha baada ya China kuingilia mgogoro huo wa hapo Yemeni na Mansour kukubali kuachia ngazi.
-Somalia ni vita za ukabila ndizo zinawafanya wapigane,na hizo vita hazikuanzia sasa hivi zilianza toka 1970s ambapo baadae 1990s likasababisha Somalia kugawanyika na kutokea Somaliland mji mkuu ukiitwa Hargeisa na Somalia kuu mji mkuu ukibaki kuwa Mogadishu.Vita za Somalia ni kama za Ethiopia zile za Tigrinyan kutaka kupindua serikali ya Abiy Ahmed Kisa yeye ni Oromo.
-Nigeria kuna political turmoils kibao nenda kafuatilie nikianza kukutajia hapa haziishi.
-Afghanistan sababu inajulikana ni Taleban kupambana kurudisha utawala wao toka 2001 USA ilipoitoa Taleban madarakani na kuwepo utawala mwingine.
Punguza Udini hautakusaidia chochote mbaya zaidi kadri unavyoongea ndivyo unavyozidi kuongea yasiyo ya kweli.
Pia hujajibu swali langu,Tanzania Uislam umeshamiri kila mtaa kuna msikiti ila je amani imetoweka Tanzania!??
Fikiria kabla hujaongea.
Kwa mujibu wa uislamu mpira ni halali?Hapo wangeitwa maaskofu na wachungaji maombi yangekua kelele tu na kufokeana,ingechukua siku nzima
Mpira ni halali mzeeKwa mujibu wa uislamu mpira ni halali?
Wakati wa mtume mpira haukuwepo,hivyo hakuna ufunuo uliokataza mpira katika uislamKwa mujibu wa uislamu mpira ni halali?
Mbona sheikh kishk anadai mpira ni haram?Wakati wa mtume mpira haukuwepo,hivyo hakuna ufunuo uliokataza mpira katika uislam
Kishki anadai mpira ni haram umeletwa ili kuwavuruga waislamuMpira ni halali mzee