Kwahiyo Dua za Yanga ni za upande mmoja tu, Waluteri na Wakatoliki au hata Mwamposa hawamo?

Kwahiyo Dua za Yanga ni za upande mmoja tu, Waluteri na Wakatoliki au hata Mwamposa hawamo?

Dini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu, Uislam.

Zingine zote ni biashara tu.
 
Unataka kutoka nje ya mada sasa

Nimekujibu kwamba mpira si haramu huko unapotaka twende wapi sasa
Huko tunakotaka twende ni pale tunapodai kuwa kuna masheikh wanafundisha watu ugaidi ili kuwadhuru wasio waislamu
 
Ila na viongozi nao wanatakiwa wajitathmini. Hata kama kwenye ngazi za juu karibia wote ni watu kutoka imani moja, hawatakiwi kuchanganya kila kitu na hiyo imani yao.

Wakumbuke tu timu ina mashabiki na wanachama wa kutoka kwenye imani na matabaka yote katika jamii.
Umeongea vyema mkuu,hizi timu za Kariakoo zimekuwa za upande mmoja,wadhamini wakuu wametoka wote upande mmoja lakini ni vizuri kubalance mambo inapokuja suala la imani
 
Back
Top Bottom