Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi biashara?Dini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu, Uislam.
Zingine zote ni biashara tu.
Hizo ni personal opinion tu,Kishki anadai mpira ni haram umeletwa ili kuwavuruga waislamu
Unakubali personal opinion za viongozi wa dini zipo na zinaleta madhara kwa jamii?Hizo ni personal opinion tu,
Kama angetoa reference katika vitabu basi alichokisema kisingekuwa na pingamizi
Huoni kinachoendelea?Kivipi biashara?
Unataka kutoka nje ya mada sasaUnakubali personal opinion za viongozi wa dini zipo na zinaleta madhara kwa jamii?
Fungu la kumi ni amri alipewa Musa na Mungu mwenyeweHuoni kinachoendelea?
Hamlambwi fungu la kumi makanisani?
Dini ni nini?Dini kwa Mwenyezi Mungu ni moja tu, Uislam.
Zingine zote ni biashara tu.
Huko tunakotaka twende ni pale tunapodai kuwa kuna masheikh wanafundisha watu ugaidi ili kuwadhuru wasio waislamuUnataka kutoka nje ya mada sasa
Nimekujibu kwamba mpira si haramu huko unapotaka twende wapi sasa
Umeongea vyema mkuu,hizi timu za Kariakoo zimekuwa za upande mmoja,wadhamini wakuu wametoka wote upande mmoja lakini ni vizuri kubalance mambo inapokuja suala la imaniIla na viongozi nao wanatakiwa wajitathmini. Hata kama kwenye ngazi za juu karibia wote ni watu kutoka imani moja, hawatakiwi kuchanganya kila kitu na hiyo imani yao.
Wakumbuke tu timu ina mashabiki na wanachama wa kutoka kwenye imani na matabaka yote katika jamii.
Kama hauelewi dini ni nini haina haja ya kukuelekeza hapa, kafunguwe mjadala jukwaa la dini.Dini ni nini?
Anayeharamisha na kuhalalisha ni Mungu tuMbona sheikh kishk anadai mpira ni haram?
Kwahiyo kuna pande inadai mpira ni haram na kuna pande wanadai mpira sio haramAnayeharamisha na kuhalalisha ni Mungu tu
Nimeipenda hiiWewe wakuja huelewi historia ya Simba na Yanga.
Nyerere kafanyiwa sana visomo na wazee wa Tanu ambao ukanda wa Dar majority ni waislamu.
Unaweza eleza ni mazingira gani uharamu unaingiaMpira ulianzishwa na Wakristo. Kwa Waislamu safi mpira ni haramu, hadi majuzi tu walipoona wasibaki nyuma.
Sio kweliKishki anadai mpira ni haram umeletwa ili kuwavuruga waislamu
Sio kweli nani?Sio kweli
Nikuulize wewe uliyesema kuwa uislamu umekuja kuwavuruga waislamuSio kweli nani?