Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
kila kitu kilichotumika ulaya Afrika bado ni lulu,wewe hujaona magari used,nguo za mitumba,mashine za kila aina na hata treni za SGR juzi tumemsikia mheshimiwa rais akisema tutaanza na za mitumba.Marekani na China mpira wa miguu ulikuwa hauchezwi sana na ligi zao zilikuwa dhaifu sana kuliko ligi yetu lakini kwa kuwatumia wachezaji waliostaafu ulaya na kuwasajili kwenye ligi zao sasa hivi mpira wa nchi hizo umekuwa sana na hatuwezi tena kulinganisha ligi zao na ya kwetu.Huyo pichani wa kucheza mechi mbili akiwa nyukesto au mwingine? Reject wa ulaya ila lulu utopoloni eeh?
Ni sawa ila sio bidhaa reject Hata huku Tz kuna magari used hayapitishwi bandarini labda kwa faini ndefu kwa sababu ni reject hayafai kwa matumizi ya binadamu. Kinachosikitisha huyo reject wenu mnavompamba utafikiri mlivunja mkataba kumbe alikosa hata timu ya daraj a la tatu. Injinia amewashika makaliokila kitu kilichotumika ulaya Afrika bado ni lulu,wewe hujaona magari used,nguo za mitumba,mashine za kila aina na hata treni za SGR juzi tumemsikia mheshimiwa rais akisema tutaanza na za mitumba.Marekani na China mpira wa miguu ulikuwa hauchezwi sana na ligi zao zilikuwa dhaifu sana kuliko ligi yetu lakini kwa kuwatumia wachezaji waliostaafu ulaya na kuwasajili kwenye ligi zao sasa hivi mpira wa nchi hizo umekuwa sana na hatuwezi tena kulinganisha ligi zao na ya kwetu.