Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Ndiyo George Mpole kamaliza ligi na magoli 17 kwenye ligi yetu madafu wakati Sadio Mane kaishia goli 16 na lukaku hata magoli kumi hakufikisha EPL
Imeibuka tabia isiyo ya kiungwana ya kulinganisha wachezaji waliotokea ligi za maana na takwimu za wachezaji wa ligi yetu ya madafu.
Unakuta mtu anachukua takwimu za mchezaji kama KAMBOLE kutoka Kaizer chiefs analinganisha na yule mnigeria wa kitanga
Au Takwimu za FUNDI Gael Bigirimana (pichani) aliyecheza EPL wanamlinganisha na vitu vya kijinga
NAOMBA TUHESHIMIANE