Kwahiyo hamna msanii hata mmoja aliyetoa, nyimbo ya maombolezo ya Ally Kibao?

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Hivi wasanii tukio wanalijua au wamejikausha,
Wasanii wanabagua viongozi wa kuwaimbia au inakuaje?
Wasanii hawa mfano msechu muda kama huu keshatoa nyimbo 10 , iweje kifo cha mshauri wa chama cha chadema yuko kimya!
Hawa wasanii mnawaelewa kweli au inakuajekuaje?
Nauliza je wamepost hata kutoa pole Kwa familia ya kamanda kibao,
 
Sio kutoa nyimbo tu hata kuandika kwenye Kurasa zao huwezi kuwaona.

Wanapost tu matukio ya Michepuko, ulawiti, umalaya na unywaji pombe tu.
 
Back
Top Bottom