Ndio nimeuliza hayo mavioo ya jamii zao yakojeHata kukemea tu hamna🥶
Sio kutoa nyimbo tu hata kuandika kwenye Kurasa zao huwezi kuwaona.Hivi wasanii tukio wanalijua au wamejikausha,
Wasanii wanabagua viongozi wa kuwaimbia au inakuaje?
Wasanii hawa mfano msechu muda kama huu keshatoa nyimbo 10 , iweje kifo cha mshauri wa chama cha chadema yuko kimya!
Hawa wasanii mnawaelewa kweli au inakuajekuaje?
Nauliza je wamepost hata kutoa pole Kwa familia ya kamanda kibao,
Sio kukemea hata kupost hii habari ili iwafikie wengi huwezo kuona.Hata kukemea tu hamna🥶