Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Acha uongo mkuu,yanga walimhitaji ngoma habari tunazo tangu zamani sana,kilichomkatisha ngoma kuja yanga ni baada ya kuskia yanga wana ban ya fifa kusajili,sasa sio lazima kila kitu mbishe ,haya mambo ya hijack yapo tu,mbona inonga mliporwa,bwalya mliporwa,na nyie mkawapora simba mbuyu twite sasa cha ajabu nini hapo.Yanga haikuwa inamuhitaji Fabrice Ngoma na wala hakukuwa naUmafia wowote. Yanga ilianza kuongea na Menejiment ya Ngoma zamani kabla ya Simba, ila sasa baada ya kupata taarifa zake za injury za mara kwa mara, ikaachane naye. Yanga ingemtaka Ngoma asingeenda Simba; na hata baada ya kufuatwa na Simba bado Angoma alitaka kujua hatima yaker Yanga, na akaambiwa kuwa aendelee tu na Simba.