Kwahiyo kesho wanaachia X? Maana walisema hawajaifunga let us wait and see

Kwahiyo kesho wanaachia X? Maana walisema hawajaifunga let us wait and see

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Wanakana hawajafunfa tweeter, ngoja tuone kama kesho tutaipata bila VPN!

Proof ni moja: Ikipatikana bila VPN ujue walikuwa wameifunga
 
TRA nao watatumia VPN kuwashughulikia Wauza bidhaa mitandaoni, hii nchi ishafika kikomo
 
Kwangu X inapatikana bila VPN zaidi ya wiki sasa
 
Back
Top Bottom