Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Unaumia roho kwa ujinga wako! Hivi ungepotezea kwa vile haikuhusu ungepungukiwa na nini? Unajua maana ya kumbukumbu? Watu hakika ukosefu wa elimu unawasumbua sana!Kuna dini zina mambo ya ajabu sana aisee yaani kila mwaka tunasikia Mungu wa wakristo Yesu anafufuka huu ni usanii aisee kwahiyo Mungu anayewezakana vp kila mwaka anakufa na kufufuka tu kwahiyo hizi siku zingine wakati amekufa nani ana control ulimwengu?
Tuachane na hilo takataka mkuu!Kumbe tukisherehekea siku ya kuzaliwa, huwa mama zetu wanatuzaa tena!
Wote wendawazimu tu ukiwa hujashirikisha ubongo wako au kuamua kuachana na mambo ya watu.Kuna dini zina mambo ya ajabu sana aisee yaani kila mwaka tunasikia Mungu wa wakristo Yesu anafufuka huu ni usanii aisee kwahiyo Mungu anayewezakana vp kila mwaka anakufa na kufufuka tu kwahiyo hizi siku zingine wakati amekufa nani ana control ulimwengu?
Kwamba na wewe ni great thinker?Kuna dini zina mambo ya ajabu sana aisee yaani kila mwaka tunasikia Mungu wa wakristo Yesu anafufuka huu ni usanii aisee kwahiyo Mungu anayewezakana vp kila mwaka anakufa na kufufuka tu kwahiyo hizi siku zingine wakati amekufa nani ana control ulimwengu?
Takataka hiyo mkuu nayo imejichanganya kwa wasomi ili ionekane imesoma!Kwamba na wewe ni great thinker?
Kalewa gongo huyoKwahiyo kila mwezi wa 10 Nyerere anakufa?
Enhee😀Kumbe tukisherehekea siku ya kuzaliwa, huwa mama zetu wanatuzaa tena!
Kwanza utambue Yesu sio Mungu na ndiomaana alikufa,Mungu hawez kufa,pili pasaka sio kufufuka Kwa Yesu,Pasaka ilianziishhwa pale Misri baada ya pigo la kumi ambapo nyumba isiyokuwa na damu mlangon mzaliwa wa kwanza anakufa, waisraeli hawakupata huo msiba hivyo wakaagizwe wawe wanaadhimisha hiyo siku kila mwaka,miaka mingi badae Yesu alipokuwa Israel akiwa kama myahudi alisherekea pasaka lakin jion ya siku hiyo ya pasaka mwaka wa 33wk Yesu alianzisha mlo maalum,alitoa divai na mkate vilivyowakilisha damu na mwiili wake atakaotoa kuwakomboa wwanadamu,na Yesu aliagiza mlo huo uwe unaadhinishwa kila mwaka ili kuthamini fidia ya uhai wake kwaajili ya dhambi zetuKuna dini zina mambo ya ajabu sana aisee yaani kila mwaka tunasikia Mungu wa wakristo Yesu anafufuka huu ni usanii aisee kwahiyo Mungu anayewezakana vp kila mwaka anakufa na kufufuka tu kwahiyo hizi siku zingine wakati amekufa nani ana control ulimwengu?
Hivi maana ya adhimisho ni nini!kama hujui usidandie imani za watu wewe kaa na ya kwako.Kuna dini zina mambo ya ajabu sana aisee yaani kila mwaka tunasikia Mungu wa wakristo Yesu anafufuka huu ni usanii aisee kwahiyo Mungu anayewezakana vp kila mwaka anakufa na kufufuka tu kwahiyo hizi siku zingine wakati amekufa nani ana control ulimwengu?