Kwahiyo leo kila kitu kinafungwa na kutiwa muhiuri kusubiri hukumu

Hao majaji na wenyewe watakuwa wamechoka! Uhaini umebakia ni wa kulazimisha! Nitashangaa kama Lissu atahukumiwa kwa kutumia ushahidi dhaifu kama ule wa mashahidi kujiandikia wenyewe matamko ya onyo.
Shida ni kuwa wakipigiwa simu ya Rostam itakuwaje. Wana uthubutu wa kusema hapana
 
Ndio hivyo
Hapana inafuatia Defence/accused Final Submission ambapo Accused ataeleza kwanini anaona hatakiwi kufungwa hujikita na uchambuzi wa kesi nzima kuanzia ukamataji hadi anapelekwa mahakamani upelelezi hadi kesi ilivyoongea mahakamani

Lakini Pia Jamuhuri nao huwa wana File Final Submission wakiwaeleza majaji kuwa ushahidi waliowasilisha unatosha kukufunga

Mahakama ndiyo hupanga tarehe ya Deadline ya Final Submission na siyo Lazima kui submit japo ni nzuri ku submit.
 
Muda huu anapanda John Mnyika
suppose Lisu anaamua kuwa mimi hapa panatosha sina mashahidi?
to me naona prosecution hawana hoja/ushahidi wowote wa kuthibitisha uhaini! Ni guess work kuwa oh tutakinukisha, tutafanya uasi...unaweza kuasi bila nia ya kupindua serikali....unaweza kuasi sheria......kwamba msipotoa kibali cha mkutano wa hadahara nitaasi na kufanya mkutano....does kukinukisha/uasi translate to uhaini..it can have and it has several meanings
 
Hao majaji na wenyewe watakuwa wamechoka! Uhaini umebakia ni wa kulazimisha! Nitashangaa kama Lissu atahukumiwa kwa kutumia ushahidi dhaifu kama ule wa mashahidi kujiandikia wenyewe matamko ya onyo.
LAZIMA Lissu ahukumiwe kunyongwa!
 
Hapana inafuatia Defence/accused Final Submission ambapo Accused ataeleza kwanini anaona hatakiwi kufungwa hujikita na uchambuzi wa kesi nzima kuanzia ukamataji hadi anapelekwa mahakamani upelelezi hadi kesi ilivyoongea mahakamani

Lakini Pia Jamuhuri nao huwa wana File Final Submission wakiwaeleza majaji kuwa ushahidi waliowasilisha unatosha kukufunga

Mahakama ndiyo hupanga tarehe ya Deadline ya Final Submission na siyo Lazima kui submit japo ni nzuri ku submit.
kumbe una akili, ila kosa lako ni moja. kukaa na wajinga huko kijanini
 
Back
Top Bottom