Kwahiyo leo kila kitu kinafungwa na kutiwa muhiuri kusubiri hukumu

Kwahiyo leo kila kitu kinafungwa na kutiwa muhiuri kusubiri hukumu

Hao majaji na wenyewe watakuwa wamechoka! Uhaini umebakia ni wa kulazimisha! Nitashangaa kama Lissu atahukumiwa kwa kutumia ushahidi dhaifu kama ule wa mashahidi kujiandikia wenyewe matamko ya onyo.
Wanaandika,wanajifanya na kujionya na kubweka sahihi pande zote!
 
Hapana inafuatia Defence/accused Final Submission ambapo Accused ataeleza kwanini anaona hatakiwi kufungwa hujikita na uchambuzi wa kesi nzima kuanzia ukamataji hadi anapelekwa mahakamani upelelezi hadi kesi ilivyoongea mahakamani

Lakini Pia Jamuhuri nao huwa wana File Final Submission wakiwaeleza majaji kuwa ushahidi waliowasilisha unatosha kukufunga

Mahakama ndiyo hupanga tarehe ya Deadline ya Final Submission na siyo Lazima kui submit japo ni nzuri ku submit.
Kwenye hii kesi ya kipuuzi ndio inadhihiriki kile alichosema Prof. Assad kuwa huko serekalini 60% hawana uwezo, na 20% wana afadhali, na 20% ndio wenye uwezo. Hao mawakili wa serekali ni sehemu ya hiyo 60%
 
LAZIMA Lissu ahukumiwe kunyongwa!
hataondoka peke yake hesabu pia na madiwani wote tunaoishi nao huku mtaani viongozi wa vijiji wa ccm pamoja na polisi hilo tetemeko ni bora mumuachie kwasababu hata mkimfunga kwa hila ili kukosa vigezo vya kugombea urais bado itakula kwenu huku mtaani.
 
LAZIMA Lissu ahukumiwe kunyongwa!
Kwa ushahidi ule wa kusema yeye ndiye aliyeandaa mkutano badala ya Katibu mkuu wa chama! Au ule wa mapolisi yenu kujiandikia yenyewe matamko ya onyo pasipo mashahidi!
 
Kilaza Samia ndio anavyotamani, na anatumia madaraka yake ya umwagaji wa damu kuishinikiza mahakama kutoa hukumu aitakayo yeye.
Atanyongwa tu wether Rais aliyepo yupo madarakani au ametoka. Atanyongwa tu! Mark my words!!
 
hataondoka peke yake hesabu pia na madiwani wote tunaoishi nao huku mtaani viongozi wa vijiji wa ccm pamoja na polisi hilo tetemeko ni bora mumuachie kwasababu hata mkimfunga kwa hila ili kukosa vigezo vya kugombea urais bado itakula kwenu huku mtaani.
Ahahahahaha! Hiyo ni dua ya mtu aliyekata tamaa! Anyway, ngoja atakaponyongwa tuone kama na wenyeviti wa vijiji na madiwani kama nao watanyongwa!!
 
Kwa ushahidi ule wa kusema yeye ndiye aliyeandaa mkutano badala ya Katibu mkuu wa chama! Au ule wa mapolisi yenu kujiandikia yenyewe matamko ya onyo pasipo mashahidi!
Subiri siku ya kunyongwa kwake ndio ntakujibu!
 
Halafu akihukumiwa kunyongwa ndio familia yako itatoka kwenye lindi la umasikini uliotopea na ujinga wa kurithi!!??
Mimi sio maskini bro! Maskini ni wale mnaolialia kila siku humu dhidi ya Serikali mkifikiri umaskini wenu umesababishwa na Serikali!
 
Back
Top Bottom