Kwahiyo malkia mtalaka wa Tabibu Year uliforce upewe talaka na tabibu ili uliwe na huyo Jamaa wa Kinondoni?

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Tabibu Year si nikuambia karma iko real ila haukutaka kunisikia ujeuri na ufedhuli wako ikopelekea hivyo wewe ni ulimuovertake yule bwana pale maeneo kutokana na pesa zako then ukamchukua malkia msukuma ukampeleka South akaishi sasa yule pusha na mtakatishaji pesa wa pale Kinondoni alikuwa anakula mzigo wewe ukiwa kwa mke wako mdogo huku Tz mwenzio yule pusha alikuwa anatumia nauli na malkia

Yule pusha na mtakatishaji pesa bado alikuwa anakula mzigo tu kule South malkia alikuwa anatuma nauli mwana alikuwa anaenda kula mzigo mpaka huyo queen msukuma akanogewa na huyo mwana wa kinondoni mtakatishaji na pusha mpaka akadai talaka iliyopelekea shekhe mwana Dare Salaam akatenguliwa? ๐Ÿ˜„ nilikuwa nakuambia kwenye kijiwe chetu cha kahawa ila sijui kwanini haukutaka kunisikia.

Habari ndiyo kama haumini njoo nyumbani hapa Kinondoni utamuona malkia na mwana anaingizwa kwa huyu jamaa jirani yangu pusha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ