Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Tabibu Year si nikuambia karma iko real ila haukutaka kunisikia ujeuri na ufedhuli wako ikopelekea hivyo wewe ni ulimuovertake yule bwana pale maeneo kutokana na pesa zako then ukamchukua malkia msukuma ukampeleka South akaishi sasa yule pusha na mtakatishaji pesa wa pale Kinondoni alikuwa anakula mzigo wewe ukiwa kwa mke wako mdogo huku Tz mwenzio yule pusha alikuwa anatumia nauli na malkia
Yule pusha na mtakatishaji pesa bado alikuwa anakula mzigo tu kule South malkia alikuwa anatuma nauli mwana alikuwa anaenda kula mzigo mpaka huyo queen msukuma akanogewa na huyo mwana wa kinondoni mtakatishaji na pusha mpaka akadai talaka iliyopelekea shekhe mwana Dare Salaam akatenguliwa? 😄 nilikuwa nakuambia kwenye kijiwe chetu cha kahawa ila sijui kwanini haukutaka kunisikia.
Habari ndiyo kama haumini njoo nyumbani hapa Kinondoni utamuona malkia na mwana anaingizwa kwa huyu jamaa jirani yangu pusha!