Kwahiyo Manara ataoa tena na atataka tumchangie? Safari hii hatutachanga, kama ni biashara basi itamdodea

Kwahiyo Manara ataoa tena na atataka tumchangie? Safari hii hatutachanga, kama ni biashara basi itamdodea

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Haiwezekani mtu mmoja anaoa na kuacha kila kukicha, halafu haogopi maradhi yaliyozagaa kila mahali?

Screenshot_2025-04-12-10-54-50-1.png
 
Ndo maisha aliyoyachagua ili mradi havunji sheria za Mungu na za jamhuri.
 
😂😂 wtz Mna ujinga sana... Amewahi kuja na bastola kukulazimisha uchange?, Mwache na maisha yake. Kwani akioa tena wewe kuna mahali una athiriwa?.
 
Back
Top Bottom