bandeko andeko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 1,228
- 2,476
nadhani wanaopewa kadi za michango na manara ndiyo wamwambie hayo, vinginevyo tujihusishe na yetu yake tumuachie.
Huna hoja wewe kapuku, tunachokataa ni kuzifanya ndoa mtajiKwani mkuu wewew inakuuma nini??Au ulitaka uwe next?!
Mbona kama twiga, Rihanna wa buza alikuwa mke wa 6Haiwezekani mtu mmoja anaoa na kuacha kila kukicha, halafu haogopi maradhi yaliyozagaa kila mahali?
View attachment 3305595
Kweli tupu👿Huyu bwana huwa anafanyia harusi biashara akishaoa uwapiga chini anavuta mpunga bank anatumbua kesho ataomba tena mchango