Kwahiyo Manara ataoa tena na atataka tumchangie? Safari hii hatutachanga, kama ni biashara basi itamdodea

Ndo maisha aliyoyachagua ili mradi havunji sheria za Mungu na za jamhuri.
 
😂😂 wtz Mna ujinga sana... Amewahi kuja na bastola kukulazimisha uchange?, Mwache na maisha yake. Kwani akioa tena wewe kuna mahali una athiriwa?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…