Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini anabaki?Kwahiyo Matola akiondoka ndo Simba itabeba makombe? Mbona watu weusi tuna akili ndogo sana, huyu muhindi acha aendelee kupiga pesa tu kama akili ndo hizi alafu ataendelea kutwambia anapata hasara
NILIWAAMBIAAA ATAKAEKUJAAA MATOLAA YUKO PALEEE ATAMUAGAAA KURUDI ALIPOTOKAAHaya bhana, kila la heri, kocha wa ngapi sijui huyu anaondoka lakini Matola kabaki kisiki cha mpingo.
Ngoja tuone .
Hata 5m hagusi.Makocha wa bei mbaya wanawekeana vipengele vingi kwenye mikataba yao.
Matola ni mtoto wa nyumbani, sidhani kama anavuta hata 20m mshahara.
Mwacheni achote mbinu za makocha wanaokuja na kupita.
Huyu ndiye xabi Alonso ajaye.
Na yeye si yupo kwenye benchi la ufundi anabakije ..nayeye aende akauguze Shemeji yake...makocha wasaidizi wameenda na benchika kumsaidia kumuuguza shemeji yao, ulitaka matola nae aende?
Ana mganga mzuriHaya bhana, kila la heri, kocha wa ngapi sijui huyu anaondoka lakini Matola kabaki kisiki cha mpingo.
Ngoja tuone .
Aeeende yeye Kila siku anabaki anawachoma wenzie huyuNa yeye si yupo kwenye benchi la ufundi anabakije ..nayeye aende akauguze Shemeji yake...
Kwani nae ana uguliwa mke?Haya bhana, kila la heri, kocha wa ngapi sijui huyu anaondoka lakini Matola kabaki kisiki cha mpingo.
Ngoja tuone .
Matola ana umri gani na Alonso ana umri gani?Makocha wa bei mbaya wanawekeana vipengele vingi kwenye mikataba yao.
Matola ni mtoto wa nyumbani, sidhani kama anavuta hata 20m mshahara.
Mwacheni achote mbinu za makocha wanaokuja na kupita.
Huyu ndiye xabi Alonso ajaye.
Mbona akina Mkwasa, Mwambusi hawajabakishwa Yanga mpaka sasa? Nani alijua hao wakiondoka yanga itachukua makombe? Viongozi,makocha kujiuzuru ni maisha ya kawaida ya waliostaarabika kama mambo hayaendi. Ila wewe unatetea watu wang'ang'anie majukumu hata kama mambo hayaendi eti kisa ajae hamna uhakika wa kuchukua makombe. Sasa hiyo ndio akili ya mtu mweusi.Kwahiyo Matola akiondoka ndo Simba itabeba makombe? Mbona watu weusi tuna akili ndogo sana, huyu muhindi acha aendelee kupiga pesa tu kama akili ndo hizi alafu ataendelea kutwambia anapata hasara
Matola anajitolea pale, halipwi chochote ni upendo wake tu kwa timu.Hata 5m hagusi.
Sasa kwanini aondoke? Yaani ana kosa gani hadi afukuzwe? Je, unayajua majukumu yake?Mbona akina Mkwasa, Mwambusi hawajabakishwa Yanga mpaka sasa? Nani alijua hao wakiondoka yanga itachukua makombe? Viongozi,makocha kujiuzuru ni maisha ya kawaida ya waliostaarabika kama mambo hayaendi. Ila wewe unatetea watu wang'ang'anie majukumu hata kama mambo hayaendi eti kisa ajae hamna uhakika wa kuchukua makombe. Sasa hiyo ndio akili ya mtu mweusi.
Matola hawezi kuondoka sababu Simba ni timu ya wahuni tuuu..Haya bhana, kila la heri, kocha wa ngapi sijui huyu anaondoka lakini Matola kabaki kisiki cha mpingo.
Ngoja tuone .
Wewe kwenye Mshahara wa Milioni 5 kwa Mwezi na ule wa Laki 2 ya Mafungu Mafungu na Posho hakuna ungeenda wapi?Kila mara huyo jamaa na mgunda wanabaki why wasitafte timu nyingine za ligi kuonesha uwezo wao na kupata changamoto zaidi.. hovyo kweli
UNATAKA AJE KWAKO? SI AMEOA YULE? NYIE WANAWAKE HAMJUI WANAUME TUNAPAMBANA VIPI MNAKUWA TU NA WIVU NA MAJUNGUHaya bhana, kila la heri, kocha wa ngapi sijui huyu anaondoka lakini Matola kabaki kisiki cha mpingo.
Ngoja tuone .
Majukumu yake ni ukocha na amekuwemo mara kadhaa kwenye mabenchi yaliyo feli ,sasa kwanini abaki?Sasa kwanini aondoke? Yaani ana kosa gani hadi afukuzwe? Je, unayajua majukumu yake?