Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Bila shaka hiki ndio kitachofuata wakati wowote kuanzia sasa ambapo Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP) anaweza kuifuta hiyo kesi huku Mbowe akiwa ameshapotezewa muda wake mwingi tu na pia serikali imeshaingia gharama kubwa tu kuendesha hii kesi.
Sasa tujiulize,ikitokea hivyo, serikali itakuwa ime-achieve nini?
Na akiachiwa, itakuwa ni kwasababu ya ombi la Zitto?
Je, hii sio itakuwa ni mbinu ya kukwepa aibu kwani siku zote mwisho wa ubaya ni aibu?
Kwahiyo watakuwa wamefanikiwa kukwepa aibu?
Ni wazi watakuwa wamejiumbua tu.
Mbowe akitoka nashauri afungue kesi kudai fidia hata kama mahakama ni zao(iwe kwenye records).