Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa?!Muislamu anamuomba Muislamu mwenzake amtendee haki asiye Muislamu, inapendeza sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa?!Muislamu anamuomba Muislamu mwenzake amtendee haki asiye Muislamu, inapendeza sana.
Naona labda Zitto kamkuta Mbowe ana makosa, hivyo kaja kumwombea msamaha....... hahahahaa...kaaazi kwelikweli Tz..Kwanini Zitto anasema asamehewe?
Anasamehewa mkosaji,
Je Mboe amekutwa na hatia gani?
Mbowe hatoki. SSH kamwambia wazi huyo Mha (Zitto), aache serkali ifanye kazi. SSH hana uwezo wa kuindoa kesi. Kwanza huyo mtoto (Zitto) anakosea kuomba rais aingilie mihimili mingine wakati huo huo akidai utawala bora. Mojawapo ya vigezo vya utawala bora ni uhuru wa mihimili kafanya kazi bila kuingiliwa..sijui Zitto alikuwa kavuta nini mpaka kutoa hilo ombiBila shaka hiki ndio kitachofuata wakati wowote kuanzia sasa ambapo Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP) anaweza kuifuta hiyo kesi huku Mbowe akiwa ameshapotezewa muda wake mwingi tu na pia serikali imeshaingia gharama kubwa tu kuendesha hii kesi.
Sasa tujiulize,ikitokea hivyo, serikali itakuwa ime-achieve nini?
Na akiachiwa, itakuwa ni kwasababu ya ombi la Zitto?
Je, hii sio itakuwa ni mbinu ya kukwepa aibu kwani siku zote mwisho wa ubaya ni aibu?
Kwahiyo watakuwa wamefanikiwa kukwepa aibu?
Ni wazi watakuwa wamejiumbua tu.
Mbowe akitoka nashauri afungue kesi kudai fidia hata kama mahakama ni zao(iwe kwenye records).
Bila shaka hiki ndio kitachofuata wakati wowote kuanzia sasa ambapo Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP) anaweza kuifuta hiyo kesi huku Mbowe akiwa ameshapotezewa muda wake mwingi tu na pia serikali imeshaingia gharama kubwa tu kuendesha hii kesi.
Sasa tujiulize,ikitokea hivyo, serikali itakuwa ime-achieve nini?
Na akiachiwa, itakuwa ni kwasababu ya ombi la Zitto?
Je, hii sio itakuwa ni mbinu ya kukwepa aibu kwani siku zote mwisho wa ubaya ni aibu?
Kwahiyo watakuwa wamefanikiwa kukwepa aibu?
Ni wazi watakuwa wamejiumbua tu.
Mbowe akitoka nashauri afungue kesi kudai fidia hata kama mahakama ni zao(iwe kwenye records).
Kudai katiba mpyaKwani walimkamata kwa sababu gani,,,,??? mbona sielewi
Wewe sukuma gang ndio unamzalauMaCHADEMA mdharau msidharau mama Samia ndio Rais halali wa Tanzanian sio Mbowe wala Lissu. Wawe na adabu. Wajinga sana na hovyooo kabisa
Hujui? Basi wewe Una matatizo. Samia alipoingia madarakani Mbowe alianza kusumbua na katiba mpya. Mama kichwa kilikuwa hakitulii. Baada ya kuweka ndani masuala ya katiba yakafilia mbali issue ikawa ni Mbowe si gaidi. Kwa sasa kaishakaa sawa anaweza kuhimili vishindo. Hii ni mbinu za kisiasa kwa kiongozi yoyote. Na kweli Samia kafanikiwaBila shaka hiki ndio kitachofuata wakati wowote kuanzia sasa ambapo Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP) anaweza kuifuta hiyo kesi huku Mbowe akiwa ameshapotezewa muda wake mwingi tu na pia serikali imeshaingia gharama kubwa tu kuendesha hii kesi.
Sasa tujiulize,ikitokea hivyo, serikali itakuwa ime-achieve nini?
Na akiachiwa, itakuwa ni kwasababu ya ombi la Zitto?
Je, hii sio itakuwa ni mbinu ya kukwepa aibu kwani siku zote mwisho wa ubaya ni aibu?
Kwahiyo watakuwa wamefanikiwa kukwepa aibu?
Ni wazi watakuwa wamejiumbua tu.
Mbowe akitoka nashauri afungue kesi kudai fidia hata kama mahakama ni zao(iwe kwenye records).
Safi kabisa ndugu yangu, tusichoke kuwasahihisha wanaojitahidi kukoleza udini, ukabila.Udini unaingiaje, kichwani umejaza pumba tu, mawazo ya waliofirisika sera kichwan utayajua tu!!
Pole sana, iwe kwa kufutiwa kesi au kwa kutolewa hukumu ya mahakama, Mbowe atatoka tu muda si mrefu.Mbowe hatoki. SSH kamwambia wazi huyo Mha (Zitto), aache serkali ifanye kazi. SSH hana uwezo wa kuindoa kesi. Kwanza huyo mtoto (Zitto) anakosea kuomba rais aingilie mihimili mingine wakati huo huo akidai utawala bora. Mojawapo ya vigezo vya utawala bora ni uhuru wa mihimili kafanya kazi bila kuingiliwa..sijui Zitto alikuwa kavuta nini mpaka kutoa hilo ombi