Kwahiyo Mbowe anaweza kufutiwa kesi kwasababu Zitto kamuomba Rais amuachie?

Mbowe hata akiachiwa, kamwe hawezi kujipendekeza kwa Samia.Sana sana ataendelea kuongoza mapambano ya kudai katiba mpya akiwa na nguvu na ari mpya kama mtu ambae hata tena cha kupoteza.
Uliongea nae au ni assumption tu?
 
Kumjadili yeye sawa ila inafika mahala unajadili mpaka maisha yake binafsi? Na maisha yake ya ndoa pia?
 
Tatizo kaomba Zitto? Angekuwa balozi mzungu/mtu mweupe Cdm mngemuandika kwa uzuri. Tuache mentality ya kuabudu watu kwa kigezo cha rangi au anapotoka
Darcity, Huwa nakuona /nakufikiria kama mtu reasonable, inanipa wasi wasi. The issue is Mbowe is facing trumped charges! Hata angeliomba Mzungu, watu wa kufikiria watapinga maana Mbowe anasingiziwa. Ushahidi wote mpakaa Sasa unaonyesha wazi, hata kwa taahira kuwa Ni wa uongo wa kutunga deliberately! Sasa unasamehe nini!? Anayesamehewa ni yule aliyekosa, think about this contention!
 
Mbowe hawezi kutoka nje kabisa mpka kesi yake imalizike, na Wala rais hawez kumtoa ndan, maana kilicho mfanya awe hapo Ni sheria, Sasa ikiwa sheria zitaona kuwa hakufanya kosa hyo Ni mahakama Sasa, so ikiwa kutafanyika kosa Kama hlo litakuwa Ni baya mno kuwahi kutokea Toka misingi ya Tanzania kuwekwa,

Najua mama anapata pressure kubwa, ila aiache mahakama itende kazi, ikitokea vinginevyo mahakama itakuwa imenajisika kwa kiwango kikubwa mno, na huenda Sasa kukawa na imbalance of law,

Y sambaya afungwe na mbowe aachiwe?? Wakati kesi zao zinafana?? Zote Ni za kisiasa?? Acheni Yale mambo yanayosemwa ya @kihuni wao wasubr tu sheria ifanye kazi ili haki itendeke,

Yaan watu waje na ushahidi wa watu 20, watumie gharama kubwa halafu kesi ifutwe kirahisi, wasituletee mambo ya@kihuni..
 


Kesi ya Mbowe ingekuwa inawapandishia umashuhuri wasingefuta lakini Mbowe ukimfunga mtu ambaye ni mashuhuri kuliko wewe ni tatizo. Hasa kwa madai ya Ugaidi hapo wamechemsha sana
 
Kama ilivyo wazee wa escrow na uhamsho ndivyo itakavyokuwa
 
Yabidi watafute pa kutokea, LA KUBUMBA HALINA UHAI
 
Mbona mnateseka sana ZZK ni smart kuliko CDM yote nyie suseni tuu si wazee wa kususa.
 
Kukitokea maridhiano yenye masharti kwa Mbowe,ndio itakuwa mwisho wa Mbowe kisiasa.Mbowe anatakiwa kukubali kuachiliwa na Serikali ya CCM, kama ataachiliwa bila masharti yeyote!
Watanzania pamoja na ulimwengu kwa ujumla tunajua ",Mbowe Sio Gaidi".
 
Tatizo kaomba Zitto? Angekuwa balozi mzungu/mtu mweupe Cdm mngemuandika kwa uzuri. Tuache mentality ya kuabudu watu kwa kigezo cha rangi au anapotoka
Kwamba hujui ukaribu wa zitto na ccm au ndio unafiki?!
 
Ningemuwa mbowe ningekatalia humo mpaka iishe .labda wanitoe Kwa kuniburuza na grader
 
Naona unaitendea haki buku 7 au inflation index ni tofauti kwa sasa...labda imeongezeka....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…