Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Sasa penz nikiwa na 40s c watoto wangu wataniita babu
Huyu usiangaike nae sana tafuta picha yake timiza maandiko yanavyosema kua ukimtamani mke tayari ushamkula
 

Attachments

  • downloadfile-39.jpg
    downloadfile-39.jpg
    27.1 KB · Views: 7
Mbona matajiri hawawazi, maskini mbwa sisi sasa!😆
C tulishakubaliana ukizaa ukiwa kijana, mtoto anapata akili kuliko ukizaa ukiwa kikongwe hata mayai nayo yanakuwa hoi hayana nguvu na mtoto nae anatoka kama fala 😎
 
Mkuu hapo kwenye kukwangua ukoko ni uongo hivi unajua mimba inaingia hata bila kutumia manguvu cha msingi kuwe na upevushaji tu. Mengine ni mbwembwe tu za burudani hasa chomoa chomeka.
Ume over react, mtoa mada hapo kafikisha ujumbe na pia kutumia lugha ya kimsiahara na utani ndani yake kupunguza ukali wa kile anachokizungumza
 
Back
Top Bottom