Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Mbona hujasema chochote kuhusu baby baba?
 
Kwahiyo bikra ni muhimu
 
Mimi sijawahi kuwa na mwanamke bikra kwahiyo ni kosa nikisema nataka nioe mwanamke bikra?
 
Sasa mpya si mpya ? Au haujui hata unachomaanisha? Yaani hawa used wenye unafiki nimeweza kuishi nao sembuse kitu kipya?
Kipya kina gharama zaidi, used ni bei chee ila umeshindwa kukimudu, inafikirisha sana ni kwa namna gani utaweza kumudu kitu kipya.
 
Now days even an insult is branded as a joke,a sarcasm and a new poetry way delivering a message to an intended audience
We are people of different age, social group and backgrounds. We will never be the same on way of delivery message.
 
Oa mkuu wala usijali hatukuwakaza sana basi tu ilitokea kitu kikazama nyavuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…