Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Inachoma hadi kumoyo, ukitafakari inaweza kufika Nyumbani ukamfukuza🀣
 
Aiseeee kumbe ndo tabia yako mkuu. Hongera kwa kukwanguliwa ukoko wote. Nyuzi zako nyingi kukandia wanawake tu najiuliza kosa ni la nani kati ya wazazi wawili,yupi alikupa trauma mkuu?
Yeye n mwanaume, na analomba ndo mana anajua mambo ya ukoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…