Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

Mkuu,
Kwani wakati unamkula huyo "mke wa mwanaume mwingine" nini kinakuja akilini? Huwa unawaza nini? Kwamba unachezea kidude cha mtu mwingine?
Tatizo sio kumla, tatizo ni kuendeleza familia ya mwanaume mwingine. Hasara ni nyingi sana. Kwanza hauna mzaliwa wa kwanza kwenye familia yako. Pili bloodline yako inavulugika. Tatu italeta utata kwenye mirathi yako. Hasara ni nyingi kwa kweli
 
Imagine wakati lile bao la mimba linaingia mkeo alivyomshikilia baba mtoto kwa nguvu ili isichomoke, huku baba mtoto akiisugua kwa ndani kabisa kama anakwangua ukoko wa wali kwenye sufuria.
Aisee

Hili ni pigo baya sana kwa Wanaume wanakula makombo

Hebu rudia tena, kwamba kama anakwangua nini😂😂 kmmk walahi utawauwa hawa viumbe... Wape break wapumuee🙌🙌
 
Kuwa na mahusiano na single mother inauma ila mhusika hawezi kuonyesha wazi.

Napoishi kuna jamaa ameoa single mother, huyo mtoto ana miaka 15+ hv

Bado tena huyo mwanamke akazaa na mwanaume mwingine huku bado akiishi na huyo jamaa ndani, na jamaa anajua kabisa huyu mtoto sio wangu ila mshikaji yupo tuu kmmk

Ah cjui huyo mwanamke anampa nini jamaa humo ndani mpaka jamaa amekuwa mpumbavu kiasi hiko 🙌
 
Nilikulia katika maisha yaliyonifundisha somo kubwa.
Mzee wangu alimuoa mama yangu akiwa tayari ana watoto watatu kutoka kwa mwanaume mwingine. Hao ndio waliokuja kuwa dada na kaka zangu.
Nilipofikisha miaka 4, baba na mama walitengana. Baadaye nikajikuta ninaishi kwa baba mwingine wa kufikia. Cha kushangaza, huyo ndiye alikuwa baba mzazi wa wale watoto watatu kwa mama.
Pamoja na yote yaliyotokea, mzee wangu hakuwahi kunijaza chuki dhidi ya mama. Aliniachia kauli moja tu ambayo imebaki akilini mwangu:
"Usije ukaoa mwanamke ambaye tayari ameshazaa na mwanaume mwingine. Ukipata bikra, itakuwa vizuri zaidi."
Kwa upande mwingine, mama naye alinishauri kwa maneno machache:
"Usije ukaoa mwanamke mwenye mtoto."
Maisha yamenifundisha kuwa wakati mwingine wazazi wanaweza kutofautiana kwa mambo mengi, lakini kuna ushauri ambao wote wanaweza kukubaliana nao
 
Back
Top Bottom