Blueprint 9
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 798
- 1,381
Mvua inyeshe tuone panapovuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu hoja. Hatuulizani maswali kama hayo humu ndaniWewe una msaada au mchango gani hapo Simba?
Nisamehe Mama PhiriAu wewe ndio Try Again!!?
Usipende kujadili mambo yaliyo nje ya uwezo wako, lini Mgunda alifukuzwa!? Mgunda alikuwa kocha wa muda na baadae akawa msaidizi. Kwasasa kapangiwa majukumu mengine ndani ya club na hajawahi kufukuzwa. Uelewa wako mdogo baki nao lwenu na si kujaza server za JF.mpaka kesho ukiniuliza swali la kwamba
Ainisha hoja tatu za mpira wa miguu zilizofanya Mgunda aondolewe kuwa kocha wa Simba
Nitashindwa kulijibu hilo swali maana ili kocha afukuzwe, timu iwapo itakuwa na matokeo mabovu ama haelewani na baadhi ya wachezaji
Mgunda hivyo vyote hakuwa navyo
Fukuza Robertinho rudisha Mgunda
sawa mkubwa mimi nina uelewa mdogoUsipende kujadili mambo yaliyo nje ya uwezo wako, lini Mgunda alifukuzwa!? Mgunda alikuwa kocha wa muda na baadae akawa msaidizi. Kwasasa kapangiwa majukumu mengine ndani ya club na hajawahi kufukuzwa. Uelewa wako mdogo baki nao lwenu na si kujaza server za JF.
Kaonesha ushamba kujifanya analijua Simba sanaaaaa kiasi cha kuwatishia akina Try Again! Yaani kama akina Mwambukusi vile! Ahahahahaha!!!kwenye aya gani ameonesha ushamba wa soka?
Au kwa kuwa kamgusia Boko