Kwahiyo mnataka kumtoa Phiri mnayemchukia kwa Mkopo ili mumlete huyo Mtogo wenu aliyekubali kutoa 10% Kwenu?

mpaka kesho ukiniuliza swali la kwamba

Ainisha hoja tatu za mpira wa miguu zilizofanya Mgunda aondolewe kuwa kocha wa Simba

Nitashindwa kulijibu hilo swali maana ili kocha afukuzwe, timu iwapo itakuwa na matokeo mabovu ama haelewani na baadhi ya wachezaji

Mgunda hivyo vyote hakuwa navyo

Fukuza Robertinho rudisha Mgunda
Usipende kujadili mambo yaliyo nje ya uwezo wako, lini Mgunda alifukuzwa!? Mgunda alikuwa kocha wa muda na baadae akawa msaidizi. Kwasasa kapangiwa majukumu mengine ndani ya club na hajawahi kufukuzwa. Uelewa wako mdogo baki nao lwenu na si kujaza server za JF.
 
sawa mkubwa mimi nina uelewa mdogo

vipi kuhusu utendaji kazi wa Robertinho unaridhika nao?
 
Back
Top Bottom